Naunga mkono hoja huu muungano uvunjwe tuuJoto la kisiasa limeendelea kupanda nchini. Wananchi wengi wa Zanzibar wameonesha hisia zao kwa kuandamana wakidai Muungano uvunjwe wabaki na nchi yao.
maelezo yapo kwenye video hapa chini
View attachment 3466361
JamiiCheck hebu tusaidie kumuumbua huyu mwanachadema anae tapa tapa hii video ni ya lini?Joto la kisiasa limeendelea kupanda nchini. Wananchi wengi wa Zanzibar wameonesha hisia zao kwa kuandamana wakidai Muungano uvunjwe wabaki na nchi yao.
maelezo yapo kwenye video hapa chini
View attachment 3466361
Mjinga ni wewe mkuu.Weka link mkuu.
Ujinga ni kujiongelesha bila fact
Jamaa anautindio wa ubongo,,JamiiCheck hebu tusaidie kumuumbua huyu mwanachadema anae tapa tapa hii video ni ya lini?
Mimi huangalia ujumbe bila kujalisha video ni ya 1800s ama ya Leo.Mkuu punguza jeuri.
Huyo mzanzibar wa kuandamana kwasasa hayupo kwenda kudai muungano uvunjwe.
You know nothing,, umeokota video huko Fb au instagram, umekurupuka bila kufanya research kama ni recent news.
Huyo ni wewe.Mimi huangalia ujumbe bila kujalisha video ni ya 1800s ama ya Leo.
Yes huyu ni Mimi.Huyo ni wewe.
RIP Mchungaji Mtikila. Alikua mtanganyika wa kweliTanganyika tunasubiri Wazanzibar watuokoe.
Aibu kubwa.
Sengelema kabisa. Hilo lishangazi lilipitiwa bwana wake na wadada wa sinza Mori likatindinganywa na kubagazwa na mumeo wake. Miaka minne nimeona video hii pia. Lakini wanaomjua shangazi huyu waliotoa ushuhuda kwamba alinyang'anywa mumewePunguza mbambamba.
Weka link ya hiyo post ya miaka 12 iliyopita
Sasa utaonekanaje kama unataka link utakuwa muongo mubobeziPunguza mbambamba.
Weka link ya hiyo post ya miaka 12 iliyopita
AI...Mkuu hii umeiona? October 29 UNATIKI?
View attachment 3466364
Huu sio hata Muungano Sheikh, mutuachie Zanzibar yetu yenye mamlaka kamili....Pia mwenyewe nachelea kusema Ukafiri hatuutaki Zanzibar🤣🤣🤣Huu Muungano hata huku Tanganyika hatuutaki kabisa.
Duu nilisha waambia muungano ulipatikana kinajimuJoto la kisiasa limeendelea kupanda nchini. Wananchi wengi wa Zanzibar wameonesha hisia zao kwa kuandamana wakidai Muungano uvunjwe wabaki na nchi yao.
maelezo yapo kwenye video hapa chini
View attachment 3466361