Muungano uliobaki ni wa ccmJoto la kisiasa limeendelea kupanda nchini. Wananchi wengi wa Zanzibar wameonesha hisia zao kwa kuandamana wakidai Muungano uvunjwe wabaki na nchi yao.
maelezo yapo kwenye video hapa chini
View attachment 3466361
Japo hii clip ni ya zamani, hivi sasa ukitaka kutekwa na team Abdul na Mafwele uyaseme hayo hadharani. Jiwe alituharibia sana nchi na hiki kibibi Urojo ndiyo kinazidi kuiharibu zaidi kikishirikiana na wanamtandao.Joto la kisiasa limeendelea kupanda nchini. Wananchi wengi wa Zanzibar wameonesha hisia zao kwa kuandamana wakidai Muungano uvunjwe wabaki na nchi yao.
maelezo yapo kwenye video hapa chini
View attachment 3466361
Mamlaka kamili ndio nini?Mkuu inaonekana upo nje ya muda sana.
Hiyo video inamiaka si chini ya 12.
Kingine hakuna Mzanzibar ambae hautaki muungano, wazanzibar wanataka mamlaka kamili basi.
Better be careful of what they desire!Mexico haiwez kufurukuta kwapani mwa US kama ilivyo kwa UKRAINE kwapani mwa Urusi.Unapokuwa embedded na dola kubwa hata ukipewa mamlaka kamili(Taiwan/Hongkong in Chine as an e.g) huwez kuya'exercise utakavyo.So better wawe tu makini na matamanio hayoJoto la kisiasa limeendelea kupanda nchini. Wananchi wengi wa Zanzibar wameonesha hisia zao kwa kuandamana wakidai Muungano uvunjwe wabaki na nchi yao.
maelezo yapo kwenye video hapa chini
View attachment 3466361
Kwani Uongo, ninyi Madanganyika mmeleta Ukafiri kote huku, tazama Pemba hii leo, mwaumaliza utamaduni wa zanzibarKuikumbatia Zanzibar ni kukumbatia zigo la misumali
Daah eti watu wa bara wanafungua madanguro ndio faida za muungano .Nimesikitika sana
Wao dada zao mbona mi-ch-onyo!! yao iko wazi imetobokaje
Yaani hamna watu wanafiki kama wa Zenji
Kujitawala kwa uhuruMamlaka kamili ndio nini?
Muungano unawafaisha Waunguja, Wapemba wengi hawautaki wanataka muungano na Oman🥺🥺!Muungano uliobaki ni wa ccm
si ya kushabikia, ni kuyatafakari!Joto la kisiasa limeendelea kupanda nchini. Wananchi wengi wa Zanzibar wameonesha hisia zao kwa kuandamana wakidai Muungano uvunjwe wabaki na nchi yao.
maelezo yapo kwenye video hapa chini
View attachment 3466361
kamuulize mwalimu wako wa siasa, katiba and constitutional lawMamlaka kamili ndio nini?
Kwanza sii kweli hayo ni maandamano ya kupinga muungano, ni maandamano ya jambo jengine la kheri tuu ila hoja ya muungano ndio ikaibuliwa!Joto la kisiasa limeendelea kupanda nchini. Wananchi wengi wa Zanzibar wameonesha hisia zao kwa kuandamana wakidai Muungano uvunjwe wabaki na nchi yao.
maelezo yapo kwenye video hapa chini
View attachment 3466361
Utamaduni wa zanzibar ni upi ndugu?mimi ninachojua nyie hamfanyi kazi,wavivu,hamna ardhi ,mna njaa kali,kutwa kushinda kwenye vinena mnazaliana kama panya buku,mna import hadi mchele🤣🤣,mmelegea,hamjasomaKwani Uongo, ninyi Madanganyika mmeleta Ukafiri kote huku, tazama Pemba hii leo, mwaumaliza utamaduni wa zanzibar
Uhuru kamili ndani ya ndoa? 😂kamuulize mwalimu wako wa siasa, katiba and constitutional law
What's your take kwenye suala la muungano, mwananchi wa kawaida anafaidika vipi na inakuwaje suala la opinion poll juu ya kukubalika kwa muungano linapigwa danadana.Kwanza sii kweli hayo ni maandamano ya kupinga muungano, ni maandamano ya jambo jengine la kheri tuu ila hoja ya muungano ndio ikaibuliwa!
Pili hoja ya kuupinga Muungano kwa hoja ya hati za Muungano ni hoja nyepesi sana. Japo ni kweli nakala halisi ya Muungano ya Zanzibar is nowhere to be seen, tunaweza kuwapatia ile duplicate ya Tanganyika na kuwafunga hivyo vilomolomo!
Tatu wao Zanzibar wana sheria ya kura ya maoni, waitishe wapige kura, kama wengi wakiamua hawautaki Muungano, tuachane kwa amani, tujikalie zetu pembeni tukishuhudia jinsi watakavyo anza tena kubaguana!.
P
Hatujasoma lakini twakutawaleni Makafiri na Ujuha wenu. Marais wote watoka Pemba na twakutawala ninyi machogo marefuUtamaduni wa zanzibar ni upi ndugu?mimi ninachojua nyie hamfanyi kazi,wavivu,hamna ardhi ,mna njaa kali,kutwa kushinda kwenye vinena mnazaliana kama panya buku,mna import hadi mchele🤣🤣,mmelegea,hamjasoma
Sioni ujasiri zaidi ya midomo yenu kwa unafiki na usengenyaji!!
Nitawaletea mkapa tena ashushe TPDF huko 🤣🤣