Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Kuna mdahalo mkali sana unaendelea kuhusu kumbukumbu ya miaka miwili bila JPM.
Kumeshaibuka pande mbili za wanaomkumbuka.Magufuli. upande wa kwanza ni wale wanaomuomboleza wakikumbuka mema yake. Na upande wa pili ni wale ambao wanashangilia kifo chake.
Serikali inayoongozwa na CCM imekaa kimya ikijua karata inazozichesha kwenye sakata la JPM. Ukimya huu wa serikali unaleta jibu muhimu kuwa inafumbia macho harakati za kumchafua marehemu JPM kwa sababu inazozijua...... huenda ikawa inasimama kama kivuli upande wa mashabiki wanaomzomea Hayati.
Jambo la pili ambalo ni muhimu sana. Ni kwamba kadiri nchi inavyosogea kuelekea 2025 ndivyo pande mbili hizi zinazokinzana wanavyopata nguvu na mwangwi wao kusikiwa mbali.
Mpaka sasa serikali imegomea kumuenzi JPM hasa kwa sbababu ni rais aliyefariki akiwa madarakani. Na kama tunavyofahamu mashujaa wanaofia vitani wanaenziwa sana na kumbukumbu zao kuwekwa vizazi na vizazi. Aliyefariki alikuwa Amiri Jeshi Mkuu ambaye alikuwa anaongoza mapambano ya kiuchumi kwa taifa lake. Hivyo as Nation inayojinasibu kupiga vita ubaguzi inapaswa kusimama kwenye kauli na msimamo wake kuhusu shujaa aliyefia vitani.
Kinachoendelea sasa ni kuongezeka wimbi la mahujaji wanaoenda kuzuru kaburi la JPM kule Chato tena wanaenda kimyakimya hawwtaki camera wala media coverage.
Siku ya leo Chato imejaa wageni na haitopita mida kutskuwa na ongezeko la watalii wa ndani na nje kufika Chato kimyakimya na kuondoka.
UChaguzi 2025 utakuwa ni pande mbili za JPM. Hivyo mnapoona Upinzani unaunganisha nguvu na mbogamboga fc ndo mjhe kuwa imani ya walio jikoni imetetereka.....