zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Tulia wewe, nimeweka hapo video za kutoka JF na zilipostiwa 6 na 5 kati ya hizo video 5 kuhusu msiba wa JPM Zina views chini ya 500!! We ukachukua Moja tu tena yenye length ya sekunde 70 ndio unapambanisha na video ya Rais iliyokua na urefu wa lisaa lizima!! Unajitambua kweli??Mkuu
Unajitahidi lakini bora ungetafakari kwanza kabla ya kujibu hoja za GT wa JF.
JF siyo mamlaka ya serikali na sidhani kama walikosea kuweka hiyo ishu ya Bob. Sisi tunazungumzia CCM na Serikali ambao wana online media channels na wanao wakuu wa itifaki.
Kujifanya kujitenga na JPM ni picha ya nini kinachogubika tamati yake.
Na ndio maana nikakupa comparison kwamba Bob Junior ameongelewa sana hii wiki nzima tunamjadili Simba and as you can see ana views kibao kuliko msiba wa JPM je una maana Simba ni maarufu kuliko JPM if the logic suggests it's viewership that matters not content?
Nasubiri majibu