Kumbukizi ya miaka 2 bila Hayati Magufuli inazidi kuchangamsha 2025

Sasa unalia nini? Gazeti lote hilo la kazi gani kama una uhakika hakuna kitu tunaweza kufanya?
Nani kalia? Wapinzani tunachekelea Toka huyo shetani azikwe husikii mabomu Wala risasi kufyatuliwa kisa siasa.

Mnaolialia ni nyie sukuma gang maana huo Mzoga wenu hamna aliyekua na time nao siku ya maadhimisho.

Na hiyo 2025 masalia wote mtaondolewa kwenye position za kisiasa na hamna kitu mtafanya.

Embicile
 
Uzuri wake kaburi lake watazuru watu wenye mapenzi mema nae no unafiki kitu ambacho ni kizuri sana

Mtu kama Kardinali Pengo anabebea udhamani wa watu kama elfu 10 ni mzito kuliko hata viongozi wa serikali
Mbona Bashiru au Polepole hakuwepo? Mlikua mnajazana upepo sijui JPM maarufu hta akiwa kaburini, sijui ataamua uchaguzi wa 2025!! Miaka 2 keshasapotezewa na sukuma gang wenzie ndio sembuse 2025.
 
Ndoto za mchana hizi. Tupambanie katiba mpya na tume huru. Hizi huruma hazitusaidii
 
Matendo yake ndio yanamhukumu....reaping what he saw.
 
Kwasababu ya uovu wake, mbona mkapa hasemwi
 
Simple sana kulielewa hili, uovu alioutenda kwa Watanzania ndiyo chanzo
 
Sasa wewe Sukuma gang utafanya nini?
 
Kwani ni katiba ndio inasema lazima kuwe na kumbukizi ya jpm?sio lazima kufanya hivyo na hiyo 25 unayosema sijui pande mbili hakuna kitu Kama hicho kutokea ndani ya CCM kwaza kaa ukijua Sasa hivi Wana CCM wengi na hasa wabunge hawawazi kuhusu urais wanawaza hatma ya ubunge wao na matumbo yao itakuwaje maana hatma yao anayo mwenyekiti wa chama.upo hapo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unajilisha upepo, eti tuta, wewe na nani mtamkumbuka huyo muovu?
 
Kwasababu ya uovu wake, mbona mkapa hasemwi
Chini ya Mkapa ndo yalitokea mauaji ya mwembechai na Zanzibar..wazanzibari wakakimbilia mombasa bt hakuna analisema hili.
Chini ya JK:
1. Mwandishi wa habari Mwangosi alipigwa bomu iringa na kufariki kwenye vurugu za polisi na cdm.

2. Kijana Arusha apigwa risasi na polisi na siku ya maziko PM akiwa bungeni akaagiza wapigwe tu hakuna namna, mke wa Slaa akachezea kichapo huku viongozi wa cdm wakilala mbele...

3.Kiongozi wa madaktari alitekwa na kung'olewa kucha, na kutupwa ajifie mabwepande.

4. Kubebenea alimwagiwa tindikali till today anavaa miwani

5.Mwenyekiti wa jukwaa la wahariri Absalom kibanda alitekwa na wasiojulikana na kupewa kichapo nusu mauti

6.Chini ya JK magari ya deraya ya JWTZ yalienda mtwara kuzuia maandamano ya kupinga gas kusafirishwa

7. Chini ya JK Checha alipindua matokeo ZnZ

Bt hakuna anawasema hawa ni madikteta.

Tofauti yao ni moja tu. wakati haya yanafayika watu walikua wameachwa walambe asali so hakukua na kampeni km tunayoiona kipindi cha JPM, i bet JPM angekubali ku compromise hizi kelele tunazoziskia sasa zisingekuepo and probably angekua hai.
Note: Penye uzia tia rupia.
Mama katia udhia hakuna anehangaika kuwatafta wala kupaza sauti kwa wale vijana wa5 waliopotea, or kuzungumzia issue ya mtu aliokotwa karibuni ikiwa kwenye kiroba huko dodoma.
 
Uovu wa mkapa ni kama mwingi uligusa individuals na raia wengi hawakujua, ila Jiwe kabomoa nyumba za watu, kala pesa za watu za tetemeko, piga watu risasi, kuwa na watu kama Makonda, sabaya na wengineo, fukuza kazi viongozi hadhalani, mambo ya ukanda, nunua wabunge yaani mambo yake huwezi yamaliza
 
Amen.
 
1. Unajua familia ngapi zilikimbia zanzibar hadi useme ilikua indivuduals?

2. Unajua watu wangapi walikufa na kupata vilema Mwembechai?

3. Unajua watu wangapi walibomolewa nyumba kipande cha Ubungo-Kimara enzi za mkapa kupisha upanuzi wa barabara?I bet u mtoto sana kujua hii habari...

4. Unajua Familia ngapi zilihamishwa kwa nguvu North Mara kupisha Mgodi?

5. Unajua ni watu wangapi walihamishwa, kufukiwa & kufa Blyanhulu shinyang kuwahamisha wanainchi kupisha mwekezaji?

6. Unajua Familia ngapi zilichomewa moto nyumba Serengeti mkuu wa wilaya akiwa baba yake Sabaya

7. Unajua watu wangapi walipoteza kazi kwa kupunguzwa na viwanda kuuzwa kwa bei ya kutupa?

8.Unajua enzi za Mkapa Yona, Mramba na Kigoda walikua hawashikiki?Mramba aliwahi kuliambia bunge Nyasi tutakula ila Ndege tutanunua? Tukapigwa mabilioni mpaka waliotuibia wakaona noma wakaturudishia some amount of money

10.Unaona pesa za tetemeko ambazo hazizidi ht 10b zilizo tumika kuwajengea shule ya kisasa ni pesa nyingi kuliko Mabilioni tuliopigwa kwenye Meremeta na Expo..angalau hao hawakupewa pesa ila walijengewa shule, hizi za meremeta na expo zilijenga nn?

11. Uliza Amrani kombe alikua nani na alipigwa risasi kipindi gani...

12. Una mengi sana ya kujifunza kijana, wenzio tumezishuhudia awamu za kutosha kujua zipi pumba upi mchele.
 
Nyuki wa mama zitto junior pitia hapa usome.kwa kituo.....

Is not over until is over
 
Halafu kuna wale Watanzania walifukiwa migodini kwa amri ya serikali ya.......


NIkisikia Lissu anamlaumu JPM huwa sina neno la kusema kwa sababu naelewa anachokipitia Lissu hususan alivyoshambuliwa. Na mpaka leo hakuna jibu nani alitekeleza uovu ule.


Lakini JPM hakuwa mnyama kiasi cha kulazimishiwa watu waamini kwamba ni shetani. Wahuni na majizi ndo wanaoendesha kampeni za kumtukana. Na wahuni wamesogezwa patakatifu hivyo hakuna wa kuwaambia washike adabu zao
 
Nyuki wa mama zitto junior pitia hapa usome.kwa kituo.....

Is not over until is over
Mkapa kaitwa dikteta sana tu
JK tulimuita fisadi na haijabadilika
JPM ni dikteta tumemuita hivo akiwa hai na akiwa amekufa.

Sasa kwanini mjifichie kwenye makosa ya wengine kuhalalisha uhuni wake.
 
Na mpaka leo hakuna jibu nani alitekeleza uovu ule
Aliyetekeleza humjui? We jaribu kumuibia waziri hata notebook tu uone kama hujadakwa siku hiyo hiyo. Ndio sembuse mauaji!!
Lakini JPM hakuwa mnyama kiasi cha kulazimishiwa watu waamini kwamba ni shetani
Alikua kiasi hiko, nakumbuka alitoa order kwa bunge kuwatimua wapinzani Ili wakitoka "awashughulikie".

Aliwahi tukana wahaya baada ya tetemeko na kusema rambi rambi ni za serikali Ili kurekebisha miundombinu na sio kumpa Hela mwananchi mmoja mmoja ilihali watu walikua hawana hata pa kulala Wala kula!!

Nyie msifieni kwa kujenga madaraja na Barabara ila kiuongozi alikua katili kuliko kawaida.
 
Siasa ndivyo zilivyo, mbele yake nyuma yetu...
 
Mkapa kaitwa dikteta sana tu
JK tulimuita fisadi na haijabadilika
JPM ni dikteta tumemuita hivo akiwa hai na akiwa amekufa.

Sasa kwanini mjifichie kwenye makosa ya wengine kuhalalisha uhuni wake.
Mimi narudia kusema kuwa suala hilo la udikteta na rekodi za haki za binadamu na demokrasia ninampa JPM alama sifuri.

Lakini nyie kwenye project yenu mnaasisi kuwa alikuwa ni shetani na nchi iliklsea kuwa na mkuu wa nchi kama yeye. Mnafikia mahala mnajipa umungu kuwa bora kafa. Hayo ndiyo mnayoyafanya kwa sababu hamjawahi kukanusha na hamjawahi kuwaasa wafuasi wenu kuhusu kutweza marehemu.

Kwa nini basi msifanye hamasa kuitaka serikali ifute kumbukumbu zake zote? Tuvunje fylovers tuweke minara ya msoga.
Tuuze terrible teens zote tukanunue msosi.
Tuuze meli kule victoria tununue mitumbwi ya kuvulia samaki.
Tuvunje ama kubadili kituo cha mabasi JPM kuwa soko au ziwe ofisi za manispaa
Mnaonaje hii project mkaifanya pia? Maanq hana jema yule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…