Kumbukizi ya miaka 2 bila Hayati Magufuli inazidi kuchangamsha 2025

Tulia wewe, nimeweka hapo video za kutoka JF na zilipostiwa 6 na 5 kati ya hizo video 5 kuhusu msiba wa JPM Zina views chini ya 500!! We ukachukua Moja tu tena yenye length ya sekunde 70 ndio unapambanisha na video ya Rais iliyokua na urefu wa lisaa lizima!! Unajitambua kweli??

Na ndio maana nikakupa comparison kwamba Bob Junior ameongelewa sana hii wiki nzima tunamjadili Simba and as you can see ana views kibao kuliko msiba wa JPM je una maana Simba ni maarufu kuliko JPM if the logic suggests it's viewership that matters not content?

Nasubiri majibu
 
Kwanini kila akikosolewa JPM mnakimbilia miradi? Hivi Kuna Rais katukanwa kama JK? sio wapinzani sio JPM watu walimtukana sana JK kisa uzembe, ufisadi, udhaifu wa maamuzi n.k ila alifanya miradi mingi sana kuanzia upanuzi wa airport, bomba la gesi, lami nchi nzima, Maji ya Victoria kufika Kanda ya kati n.k.

So JPM alikua na mazuri kama ambavyo Hitler na Idd Amina waliendeleza sana uchumi wa nchi zao kuliko serikali yoyote Ile iliyofuata ila mbona wanaitwa mashetani?? Ni sababu ya utawala wao wa chuma sio Barabara walizojenga!!

Kagame watu wanamuita dikteta ila Kuna nchi Ina maendeleo kma Rwanda hapa EAC?

JPM was a devil because of his leadership style which remains unprecedented since time immemorial.
 
Reactions: JMF
Nyuki wa mama zitto junior pitia hapa usome.kwa kituo.....

Is not over until is over

Mkuu nimepita au Kuna jingine 😂😂😂 viewers hawafiki hata 500 kwa video 5 zilizopo page ya JF YouTube alafu mnaandaa Uzi kabisa. Sukuma gang mko delusional sana. Hamtaki kuamini 17th march ilipotezewa watu wako busy na mechi ya Simba na Horoya hata hawana habari za shetani wenu
 
Issue siyo vuewers
Issue ni project ya kumchafua na kuhakikisha historia yake inafutwa
 
69k.. then pitia michango ya wadu utagundua michango ya JF na JF youtube channel ni km mbingu na inchi...ubaya ya JPM unaonekana JF tu ambako watu wana multiple fake ID.
 
69k.. then pitia michango ya wadu utagundua michango ya JF na JF youtube channel ni km mbingu na inchi...ubaya ya JPM unaonekana JF tu ambako watu wana multiple fake ID.View attachment 2557712
Punguza utoto hiyo video ni ya dakika 1 na sekunde kadhaa so huwezi linganisha na event ya masaa 2 iliyokua live streamed. Hivi comparison Gani ya data zinazotofautiana??

Kingine waTanzania ni waoga sana, hapo wanatumia majina halisi so hauwezi tukana whether JPM or Samia ila huku ni fake ID so una uhuru wa kuongea uwazi no wonder viongozi wa serikali na viongozi wakuu wanafuatilia JF (JPM pia alikua anapitia huku).

Hata Mimi mapovu yangu ni humu JF, nikiwa mtaani au shughuli zangu Wala sipo radical na ni ngumu hata mtu kujua msimamo wangu wa kisiasa. Akitoka sukuma gang anamsifia mie namchora tu akitokea mtu anamkosoa na mie namsikiliza bila kuonyesha bias.

So next time rudini shule jifunzeni basics za data analysis Ili mfanye ulinganifu sahihi. Mind you viewers sio WATU ila amount of time umefungua video!!

Elimu Elimu Elimu
 
Issue siyo vuewers
Issue ni project ya kumchafua na kuhakikisha historia yake inafutwa
Nani kamchafua? Upinzani na JF na twitter zimemkosoa tokea akiwa hai Tena enzi zile kina Sarungi, Kigogo2014, na Mange walikua wanampa nondo za uso kabisa ila hamkusema ni project ya kumchafua.

Kama project ipo basi ni CCM ila upinzani tunachofanya Leo tulifanya tokea 2015 why useme ni mradi au tumelamba asali n.k??
 
Hakuna mtu wa kumshinda Samia 2025 mnapoteza mda ila kama mnataka kuchangamsha genge sawa.
 
Kumekuwa na kelele nyingi sana kuhusu Hayati Rais Magufuli,nataka ushahidi wa haya niliyoyasikia,

1. UFISADI/MWIZI nataka kujua JPM alifisadi nini au aliiba nini na je kuna mahali amewekeza hizo pesa alizo fisadi, mwenye uelewa na hili aliweke hapa kwa uzuri kabisa wengine tuelewe

2. MUUAJI/SHETANI je alimuua nani?

3. ALIPORA MALI ZA WATU je JPM alipora mali za kina nani na kwa njia gani?tafazal iwe in detail ili tupate kuelewa kwa pamoja na tusipige kelele ikiwezekana kama kuna ushahidi tuweke

4. DICTATOR UCHWARA je udictator wake ni upi? Tuwekane sawa iki tujue kwa undani maana kuna watu ukitaja jina la JPM anaweza kukuzaba kibao
 
Umeanza sentesi yako na neno NANI KAMCHAFUA.

Jipange unqpokuja kwa GT
 
Umeanza sentesi yako na neno NANI KAMCHAFUA.

Jipange unqpokuja kwa GT
GT? To be honest do you consider yourself a great thinker?? Mere fact that you're arguing in favor of the deceased dictator discredits your objective reasoning let alone minimum threshold to even be considered a so-called Great Thinker!! Lol.

Criticism is never and shall never be considered "image tainting". JPM is criticized for his below average leadership skills, extreme agressiveness, partisanship, economically inept and so on. in fact he's been criticized since 2016 I wonder why you term it as a project 7 years later? Are you in your proper senses? Eti GT Lol 😂😂
 
1. UFISADI/MWIZI nataka kujua JPM alifisadi nini au aliiba nini na je kuna mahali amewekeza hizo pesa alizo fisadi, mwenye uelewa na hili aliweke hapa kwa uzuri kabisa wengine tuelewe
Hakuna Rais anafanya wizi directly ila ufisadi wa JPM ni kwa sababu zifuatazo.
1. Alituondoa kwenye OGI iliyotaka maximum transparency ya serikali kama ukaguzi wa hesabu, ukaguzi mfuko wa Rais, vote 28 na 30 zikaguliwe n.k

2. Alimkataza CAG kukagua manunuzi ya ndege za ATCL. Pia miradi kama JNHEP na SGR walikataza isifanyiwe performance audit!! Je kama ni msafiiii unaficha Nini?

3. Alimuondoa CAG kabla ya wakati wake kisheria (Mahakama imehukumu hivyo) Sasa why upange mtu wa kukukagua Tena kutoka Kanda ya ziwa? Uadilifu utakuwepo kweli?

4. Alikataa utekelezaji wa sheria ya TEITI. Hii sheria inataka mikataba yote ipitiwe bungeni ila JPM alikataa katu katu. Nakumbuka mbunge Jessica Kishoa alipiga kelele kutaka mikataba iletwe bungeni kupitia sheria hiyo. Mind you TEIT inafanya pia ukaguzi ila ripoti zake hazijadiliwi bungeni, Sasa Rais msafi why anakataza ripoti za ukaguzi bungeni? Why alimkataza mikataba kupelekwa bungeni?

5. Kulinda mafisadi..... JPM alituaminisha kuwa Acacia imetuibia trillion 400+ kama malimbikizo na fine ya kukwepa Kodi. Sasa basi makamu wa Rais ACACIA alikamatwa na kupewa kesi ya uhujumu uchumi. Cha kuchekesha alitolewa kwa kulipiwa Billion 2 kwa kesi ya matrilioni?? Cha kushangaza zaidi ni pale JPM alipomteua kuwa mgombea ubunge huko nyanda za juu kusini, inashangaza why mtu anayejiita msafi anaweza msafisha fisadi la trillion 400 na kumpigia kampeni!!

Na sio huyo tu wapo wengine mfano Sabaya, Makonda, Nchambi (huyu alikamatwa na meno ya tembo)

Mifano ni mingi ila naomba ujibu hoja Moja baada ya nyingine kuhusu uadilifu wa JPM kama alivyojinasibu

Cc sukuma gang wote Nyumisi Carlos The Jackal Msanii nyamisi
 
Mkuu
Maadam umeweka hoja ni dhati itajibiwa na utaelimishwa ili usiendelee kuishi kwa tetesi.

Nitaupdate hii post yangu nikifika ninapoenda maana nipo mobile muda huu
 
Hakuna mtu wa kumshinda Samia 2025 mnapoteza mda ila kama mnataka kuchangamsha genge sawa.
Kukiwepo na fairness hatoboi popote.

Ila atapita tu na kuendeleza Bata analoendelea nalo Sasa.
 
Magufuli was a bold leader aliyeamini katika matokeo, na matokeo yalionekana.......hata rais mstaafu Mwinyi kwenye msiba wa Mkapa alistaajabu mambo aliyofanya magufuli ndani ya muda mfupi hasa kusimamia na kutekeleza projects kubwa ambazo hata waliotangulia hawakuwa na ujasiri hata wa kuwaza kufanya.

Approach inaweza kuwa jambo jingine, lakini unaona nia ya dhati ya Magufuli kutaka kufanya transformation kubwa ya nchi. Kuna kipindi unamsikia anasema hataki watu waende ulaya, anaijenga ulaya hapahapa Tanzania na pesa za kuijenga nchi ifanane na nchi za ulaya zipo. Na hili lilionekana, projects zilikuwa zinatekelezwa kila kona ya nchi........

kwa sasa tumerudi kwenye zama za kujipimia kwa kamba na kulamba asali kwa kuwakamua wanyonge kodi na tozo lukuki huku tukijipa kazi za uchawa za kusifia mama kuupiga mwingi, nothing more!​
 
Gone by the wind. Kila kitu na wakati wake.
 
Nyerere na Karume ndo marais tu tunaoadhimisha vifo vyao. Mkapa, JPM vifo vyao vinaadhimishwa na familia zao tu. Period!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…