Kumbukizi ya miaka 59 toka Said Mwamwindi amuue RC Dkt. Kleruu siku kama ya leo mwaka 1971

Kumbukizi nzuri ila umemkata ndugu,
mjengwamajjid hapa yuko huko ndio kwanza yuko kati ya investigation report ya huyohuyo Mwamwindi na kakaa sana huko.
Alikua anaandaa kitabu chake cha history ya huyo jamaa na Dr kleruu.
Mi nimekaa huko
Hanidanganyi mtu kitu.
Sasa tungempa nafasi japo mjengwa auze kitabu chake.
Hajatoa story yote tumeijua.
Sasa si tunaharibu ugali wake?
Hii story ungeleta zamani hakuna ambae angeuliza.
Lakini now,?huyu mwandishi majjid yuko chimbo ndio anafukunyua mambo we ushaweka hapa.
Tuwe tunafikiriana.
 
Mfumo wa ujamaa ulishindwa kabisa huko China na Urusi na nchi za Mashariki lakini walikuwa wanaficha tu.

Mfumo wa ubepari ndiyo ulikuwa na mafanikio ama tupende ama tusipende.
 
Huyu Mjengwa mwaka wa ngapi huu anaandika hicho kitabu bado hajakimaliza?

Wache wengine wachangie nao na yeye anaweza kuboresha kitabu chake kwa kuchukua materials kwa wengine.
 
Huyu Mjengwa mwaka wa ngapi huu anaandika hicho kitabu bado hajakimaliza?

Wache wengine wachangie nao na yeye anaweza kuboresha kitabu chake kwa kuchukua materials kwa wengine.
[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Upuuzi wa ujamaa na zidumu fikra za mwenyekiti ndio zilitufikisha hapa leo. Mi ndiyo maana sijawahi kumkubali asilani Mchonga. Cheki namna alivyotuletea watu imbecile aina ya Kleruu. What a pathetic man he was!
 
Ngoja niupitie uzi kesho nikiwa nimetulia huku nikivuta hisia ya iringa ya sasa
 
Historia inayoeleweka. Inafaa kutumika leo. Tujifunze kwa kupitia historia.
 
Lesson learned! Heshima ni kitu Cha muhimu! Every human deserve respect!
 
Dah aisee shukran kwa historia
 
Ingekuwa inawezekana tungemjengea kumbukumbu kabisa huyu Mkulima
@Malila mkuu upo dah!! Nyuzi zako zimeniinspire Sana . Nimezisoma Sana nyuzi zako kabla sijafungua account jf . Tunakuomba mkuu urudi Tena nyuzi zako zinatujenga Sana [emoji1666] kiongozi . Nakutakia kila lakheri katika maisha.
 
NDUGU YANGU MUNGU MWEMA, NIPO. NIKO HUKU SHAMBANI NATAFUTA VYA HALALI, MAPORINI HUKU KUNA HAZINA NYINGI, NIKIRUDI TOWN TUTAENDELEA KUJADILIANANA NA KUPEANA MAARIFA. ASANTE SANA
 
NDUGU YANGU MUNGU MWEMA, NIPO. NIKO HUKU SHAMBANI NATAFUTA VYA HALALI, MAPORINI HUKU KUNA HAZINA NYINGI, NIKIRUDI TOWN TUTAENDELEA KUJADILIANANA NA KUPEANA MAARIFA. ASANTE SANA
[emoji1666][emoji1666] Sambamba Sana
 
Ujamaa ni mfumo mmoja wa ovyo sana wa kiuchumi uliegemea kupora kutoka kwa wenye nacho ili kuwapa wasio nacho na walio madarakani.
 
30. Kigogo wa Polisi Aieleza Korti WANYALU sio Watu wa Mchezo!!!

Bw. KHAN LODHI (Regional CID Officer) alitoa ushahidi kama shahidi wa 18 wa Serikali na pia kama shahidi wa 4 wa Utetezi.
Wataalam wa sheria hii imekaaje? Kumbe unaweza kutoa ushahidi upande wa mashtaka na utetezi?
 
Hili limenishangaza kama sio kunisikitisha. Yaani mtu ananyongwa hata kabla ya kusikilizwa kwa rufaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…