Kumbukizi ya miaka 59 toka Said Mwamwindi amuue RC Dkt. Kleruu siku kama ya leo mwaka 1971

Kuna wapuuzi wanamuita Nyerere baba wa taifa.

Upuusi mtupu.
 
... very sad Kaka! PhD yenyewe kasomea Marekani but exposure zero! Sometimes, huyu ni aina ya watu wanaopenda sana kujipendekeza ila bado unajiuliza kwa miaka ile PhD Tanzania zilikuwa za kuhesabu mno; unajipendekeza ili iweje? Popote duniani angefanya kazi.
 
MAAJABU,
WW KATIKA UZI ZOTE HUWA UNAPINGA MAUAJI HAIJALISHI SABABU KULIKONI?
Kwa sababu nachukia uvivu na wanaopromote uvivu, hasa kampuni za betting na hizo sera za kijamaa, yaani wengine wasafishe mapori we uje ulime tu, na mapori bado yamejaa, kwanini wasiende kusafisha?
 
Namimi toka mwanzo ndio nimeuliza, ni kwanini hiyo hoja haikujibiwa, yaani kwanini upore mashamba waliyovuja jasho wengine wakati mapori bado yamejaa, kwanini msiwape hao wengine mapori ili na wao wakahenyeke kung’oa visiki? Why?!
 
Kwahiyo unachotaka kusema hapa nini?

Kwamba lilikuwa ni jukumu la Nyerere ku-introduce market economy kwa wakati huo ?

Maana unamlaumu Nyerere kwa sera yake ya ujamaa na wakati huo huo unazungumzia mfumo ambao haukuwepo nyakati hizo.
Sio kwamba alikua ni jukumu lake kuintroduce. Huu mfumo ndio ulikuepo kabla ya azimio la arusha. Azimio la Arusha lilikuja kuvuruga Huu mfumo kabisa.

Yani katika vitu baba wataifa alifanikiwa kwa hali ya juu ni kutengeneza hili jinamizi la propaganda. Yani hapa alifaulu kweli kweli. Mpaka Leo linatutesa. Yani sarikali imejaa uongo uongo tu. Katika kila 10 inayosema we shika moja tu.
 
Mkuu huwa nakukubali, embu siku moja tuletee hiyo ya kisiwandui
 
Sio kwamba alikua ni jukumu lake kuintroduce. Huu mfumo ndio ulikuepo kabla ya azimio la arusha. Azimio la Arusha lilikuja kuvuruga Huu mfumo kabisa.
Kwa wakati huo ni nchi gani ilikuwa inatumia mfumo huo wa market economy ?
Yani katika vitu baba wataifa alifanikiwa kwa hali ya juu ni kutengeneza hili jinamizi la propaganda. Yani hapa alifaulu kweli kweli. Mpaka Leo linatutesa. Yani sarikali imejaa uongo uongo tu. Katika kila 10 inayosema we shika moja tu.
Hapa siwezi kuongea maana tutakesha kwasababu ukimzungumzia Nyerere, Misikitini wana stori zao, uchaggani wana stori zao, wahaya wana stori zao na Zanzibar wana stori zao.

Lakini madai mengi mwenye akili timamu na anaewajua hawa watu anajua kabisa yalihusu nini.
 
Kwa sababu nachukia uvivu na wanaopromote uvivu, hasa kampuni za betting na hizo sera za kijamaa, yaani wengine wasafishe mapori we uje ulime tu, na mapori bado yamejaa, kwanini wasiende kusafisha?
KWenye Uzi wa scorpion ulipinga vikali kuhusu kujichukulia Sheria mkononi.
Nashangaa kwenye huu Uzi umekuwa mbogo dhidi ya wajamaa wa kale.
 
WE MKARUKA UNAONEKANA NI MJAMAA MVIVU USIYEPENDA KUJITAFUTIA VYAKO NA UNATAKA WATU WOTE WAWE MASKINI KAMA WEWE.
 
... nimemshangaa sana; off topic! Tunajadili Siasa na Utawala yeye analeta Home Violence!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kuna kitu najaribu kuwaza kwa sauti...
Hivi hii sera ya ujamaa chini ya nyerere et al si ndio ilitaifisha mali za watu binafsi na kuzigeuza kuwa za chama cha mapinduzi?
Kwa kisingizio kuwa ni za "serikali" . By the way mali nyingi za ccm ni za dhulma sana
 
WE MKARUKA UNAONEKANA NI MJAMAA MVIVU USIYEPENDA KUJITAFUTIA VYAKO NA UNATAKA WATU WOTE WAWE MASKINI KAMA WEWE.
Wewe jamaa inaonekana una akili ngumu sana.

Hivi kwanini ninyi wajinga mnadhani ukizungumzia ujamaa basi unazungumzia watu kufanya sehemu moja?

Tatizo mmemezanstori za vijiweni kuhusu Ujamaa basi ujamaa kwenu mnaona ni jambo baya kwa 100%.

Hata Marekani leo Republican na wafuasi wao wanawatuhumu Democratic kufanya ujamaa Marekani.

Jaribuni hata kufikiria hata kwa kiasi.
 
UCLA ya wakati huo ilikuwa moja ya fertile recruiting grounds za wakomunisti.
 
Ujamaa ni sera ovu hasa na ni mbaya kwa watu wenye juhudi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…