Kumbukizi ya Nyerere: Familia ya Mwalimu Nyerere yawataka wasanii kuacha kutumia jina la Baba wa Taifa kama ubin wao

Aibu tupu, hakuna mwenye umiriki wa jina, mtu yeyote anaweza kutumia jina lolote,
Nchi inakabuliwa na Mambo mengi, kila sekta hawa watoto wa Nyerere wanachoona ni jina tu,! kenge kabisa, kenge hawana mchango wowote katika nchi, hawana ma kampuni, sio academician,sio ma engineer, sio marubani, yapo yapo tu, kuna moja lilikufa kutokana na matumizi ya pombe ya muda mrefu,
Y anaishi kwa handout za, serikali, mtoto wa Baba wa Taifa,sawa huna ukwasi, lakini hata kuwa profesa mkubwa chuo kikuu umeshindwa, yanalia Lia tu kusubili kuteuliwa, so pathetic
 
Inawezekana una hoja, ila ukienda kwa Pilato wataangalia kwenye historia lini huyu Steve alianza kutumia jina hilo, watakuta ni pale alipoanza kuigiza sauti ya Mwalimu Nyerere. Ndiyo maana katika clip hii Madaraka amesema zaidi ya mara moja, imefika wakati inakuwa kama ni upotoshaji maana wengine hawakuwa wamezaliwa kujua historia hii matokeo yake ni kuleta mkanganyiko. Madaraka amekuwa sahihi pia kuwakosoa waandishi wa habari, wanapoandika jina la Steve, hili jina la Nyerere linapaswa kuwekwa hivi "Nyerere" au kusema "anayejulikana kwenye sanaa kama Steve Nyerere" au "almaarufu Steve Nyerere".

Pia mambo mengine yakishaletwa kama hivi kwenye "mahakama ya umma", hayaendi tena wala kufika kwenye mkondo wa sheria maana aliyelileta anajua umma ndiyo utakuwa Pilato na muhusika akijitafakari kwa kukosolewa kwake mbele ya mahakama ya umma lazima atachukua hatua stahiki.

Sitashangaa Steve atatoka hadharani na kuanza kujiita Steve Samia.
 
Na wewe kabadili jina ujiite Samia Suluhu Hassan uone kitakachokutokea.
 
Wasajiri hilo jina basi
Unaacha kutumia jina la mzazi (baba) wako unakwenda kutumia jina la kiongozi huo ni uzuzu! Unafikiri baba yake mzazi anajisikiaje mtoto wake kutotumia jina lake na badala yake anatumia jina la Nyerere ambaye si baba yake?
 
Mkoa wa Mara una watu wenye jina la Nyerere kwa maelfu kama sio malaki
Huyo msanii Steve baba yake anaitwa Nyerere? Tatizo Steve amekuwa akijitambulisha kama baba yake ni Nyerere wakati siyo.
 
Ni aibu kufikia wenye jina wanakuambia uache kulitumia.
Kweli kabisa, ni aibu kubwa mno, wachangiaji wengi hawajaiona hoja na uzito wake. Aliye na wajibu wa kulinda Legacy ya mtu wa kwanza ni mtoto wake, wengine watafanya kadri watakavyowwza.

Kwa ufupi ni kwamba Madaraka hataki Stivu aendelee kutumia jina la baba yake kwa kuwa stivu ameonekana mara kadhaa akitoa kauli zinzoashiria kutokubalika au kuibua sintofahamu hivyo kuaibisha jina la Nyerere.. Stivu aache kuongea upuuzi huku akijinasibisha na jina hilo.
 
Huyo msanii Steve baba yake anaitwa Nyerere? Tatizo Steve amekuwa akijitambulisha kama baba yake ni Nyerere wakati siyo.
Nyerere alipoitwa baba wa taifa, Hao watoto wake wangekataa, Nyerere alishavuka level za kuwa mali ya familia. Kama wao hawatumii jina la baba yao vizuri, ni ujinga wao.

Kila mtanzania anaweza kuwa na ubini wa Nyerere kama akitaka.
 
Sheria hii hii hairuhusu kutumia jina la mwenzio, kumbuka hapo imejitanabalisha kuwa kuna mwanandugu ambaye ana majina yote 3 yanayotumiwa na huyo msanii. Ingekuwa jina 1 au 2 sawa, ila yote 3 khaa..., haijakaa sawa..
Hata kwenye biashara hairusiwi kama unabisha chapisha nembo/jina za kampuni ingine kama hujashtakiwa
 
Nyerere alipoitwa baba wa taifa, Hao watoto wake wangekataa, Nyerere alishavuka level za kuwa mali ya familia. Kama wao hawatumii jina la baba yao vizuri, ni ujinga wao.

Kila mtanzania anaweza kuwa na ubini wa Nyerere kama akitaka.
Tatizo la huyu bwana alichukua hilo jina kama utambulisho wa kisanii.

Ila kanogewa nalo na kujifanya ni Lake kabisa

Asiposhtuliwa mapema itaenda hivyo na miaka mingi baadae wasiofahamu historia watamhusianisha na familia ya Mwalimu jambo ambalo sio sawa.

Kwanini mtu usiwe proud na ukoo wako mpaka urukie majina ya watu ifikie hatua wenyewe wanakukana hadharani kwa aibu.
 
Mpumbavu kama huyu kutumia jina la Nyerere ni kuudhalilisha ukoo wa Mwalimu Nyerere
 
Attachments

  • IMG-20240207-WA0000.jpg
    63.2 KB · Views: 5
Nyerere alipoitwa baba wa taifa, Hao watoto wake wangekataa, Nyerere alishavuka level za kuwa mali ya familia. Kama wao hawatumii jina la baba yao vizuri, ni ujinga wao.

Kila mtanzania anaweza kuwa na ubini wa Nyerere kama akitaka.
Nyerere alipoitwa baba wa taifa, Hao watoto wake wangekataa, Nyerere alishavuka level za kuwa mali ya familia. Kama wao hawatumii jina la baba yao vizuri, ni ujinga wao.

Kila mtanzania anaweza kuwa na ubini wa Nyerere kama akitaka.
Kwanini uache ubini wako uanze kutumia ubini wa kiongozi!! Huo ni zaidi ya uchawa. Mwambieni ndugu wa Mwalimu wamemkataa aendelee na ubini wakwao. Kwanza ana mdhalilisha sana baba yake.
 
Kwanini uache ubini wako uanze kutumia ubini wa kiongozi!! Huo ni zaidi ya uchawa. Mwambieni ndugu wa Mwalimu wamemkataa aendelee na ubini wakwao. Kwanza ana mdhalilisha sana baba yake.
Hao ndugu ni wajinga, wakati wa utawala wa baba yao elimu ilikuwa bure, hawakusoma, madaraka akaishia kwenye ulevi na upromota wa ngumi, Makongoro gari yake muda wote imejaa pombe, imebidi mfumo ukamfiche maporini Huko Katavi kuepuka aibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…