kevoomarcus
JF-Expert Member
- Dec 3, 2023
- 495
- 905
Macho ya mganga yanaona duniani na kuzimu kwa wakati mmojaπππ
Unafungwa kiroho na kufuli kumiπ₯Ίπ₯Ίπ . kufa hufi ila chamoto utakiona
View attachment 3149814
Hapa fundi anapiga ramliππ
Hii ni altare ya wazunguHapana hiyo ni kuumizwaView attachment 3149718
Hii ni noma aiseeHii ni kufungamanishwa kwenye mahusiano.. Ila sio limbwata japo matokeo tarajiwa yanafananaView attachment 3149686
Hakika nisimdake Mana Sina roho ya kusamehe watu was hivyo.Kuna hii ya wembe/nyembe, sindano na limao ama chungwa.. Imagine mtu anakuendea kwa mganga akakutengeneze uumieView attachment 3149812