Uchaguzi 2020 Kumbukumbu: Kauli ya Askofu Gwajima dhidi ya imani za Wakatoliki na Waislamu

HATA mkimchafua vipi Gwajima ,sisi ndo tulishampenda mnatumia Nguvu nyingi kuibua hoja ambazo hazina msingi
 
Sisi watu wa kawe TUNACHOJUA tunamtaka Gwajima kwa ajili ya maendeleo ,hayo Mambo yenu mnayotuletea hatuyaelewi
Maendeleo hata kaburu alimpeleka sauzi
Sisi tunataka umoja na upendo bila kujali dini, rangi asili, kabila, jinsia wala itikadi
Huyu kafiri hata akigombea na mbwa sisi waislamu wa Kawe tungempigia kura mbwa
 
Wewe kama mimi
 
HATA mkimchafua vipi Gwajima ,sisi ndo tulishampenda mnatumia Nguvu nyingi kuibua hoja ambazo hazina msingi
Hakuna mtu anamchafua
Camera does not lie
Sisi tunataka
Upendo na umoja bila kujali dini. Kabila, rangi wala itikadi
Waislamu wa Kawe hatuwezi kumpigia kura
 
HATA mkimchafua vipi Gwajima ,sisi ndo tulishampenda mnatumia Nguvu nyingi kuibua hoja ambazo hazina msingi
Zamani nilijuaga Misukule ni watu fulan hivi wachafu wachafu, hawana akili wanaishi porini kichawi na chakula chao ni Unga. Lakin nimekuja kugundua sio kweli.
 
Mtu mwenye PhD anaandika "ilo alikwepeki" badala ya "hilo halikwepeki" unapata mashaka kaandika yeye au kachomekewa?
Hahaha na wewe uwe na akil mda mwingine hyo sio account original ya Gwajima hyo n fake account Gwajima kwenye account yake original hajawahi mjibu Halima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…