Uchaguzi 2020 Kumbukumbu: Kauli ya Askofu Gwajima dhidi ya imani za Wakatoliki na Waislamu

Waislam na Wakatoliki wa Kawe tumeshatumiana hii video na msimamo wetu ni kumuaibisha huyu shetani kwenye sanduku la kura. Full stop
 
Gwajima has a case to answer. How do you solicit for votes from the people you don't respect their creed?

Surely Gwajima does not deserve to be elected to represent the people whom he despises their faith.
 
Waislam na Wakatoliki wa Kawe tumeshatumiana hii video na msimamo wetu ni kumuaibisha huyu shetani kwenye sanduku la kura. Full stop
Sawa tutaona nani mshindi hyo siku maana kila mtu anauzuri wake na ubaya wake wewe unaangalia alisema nin lakin kumbuka kuna watu pia aliwasaidia n hao hao waislamu na wakisto kule salasala amewawekea maji nyumba 200 kajenga miskiti na kwa taarifa yako Gwajima alishawahi kuishi msikitin
 
Hapana aisee huyu kunguru hajatusaidia chochote zaidi ya kutukuna dini zetu na ushahidi wa video tunao na jana kwenye jumuiya zote zilizofanyika Kawe tumeijadili hii video kama tulivyoelekezwa na wajumbe wa baraza la walei na tumeamua huyu shetani hatumpi kura na tunahakikisha Halima anapata kura za kutosha.

Kumshinda Gwajima ni kumshinda shetani.
 
Hapana hatakama uwe vipi huwezi fanya kitu kama hicho au wewe unajirecord nini maana uko kama ulikuwepo vile

Dah! Nakusikitikia Nondo mla Watu! Una kila dalili ya kwenda motoni baada tu ya kuimaliza safari yako hapa duniani, kwa hiki kitendo chako tu cha kumuamini mtu muongo, mzinzi, mla kondoo wake na mjanja mjanja kama Gwaji Boy.
 
kwani ccm wanashtakiana? ni yeye alikuwa anapiga lile uno
 
Andikeni yote mnayoandika lakini mjue Halima hatumtaki Kawe ,takataka ile tunaitupa kwenye dastibin Tarehe 28
Siku hiyo mtalia Sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…