Kumbukumbu: Leo ni miaka 10 tangu Simba amfunge Yanga 5-0

Kumbukumbu: Leo ni miaka 10 tangu Simba amfunge Yanga 5-0

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Tarehe kama ya leo miaka 10 iliyopita, Timu kubwa kwa Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati, Simba Sports a.k.a Lunyasi walimnyoa Yanga jumla ya magoli 5-0.

Unakumbuka nini kuhusu mechi hii? Karibu sana mwanasimba utukumbushe miaka 10 ya mechi hii...

C821EFF6-46DD-4C23-904E-7A3DAEDF1047.jpeg
 
Siku hiyo nilikuwa Kinondoni B. Kuna jamaa yangu alikuja kutoka Dom kwenye Shughuli zake za kibiashara sasa akafikia Gheto langu hapohapo Kinondoni. Mida ya saa 7 jamaa akaniambia twende Taifa tukacheki game.

Muda huohuo kulikuwa na game ya Man U (Sikumbuki ilikuwa vs nani) nikasema siwezi kwenda Taifa niache Match ya Man U. Kwakuwa mie ni Simba na Man U. Na hata hivyo pressure za watani wajadi huwa sizipendi kabisa. Jamaa yangu yeye alikuwa Simba pia.

Baada ya game jamaa ananiambia nilikuambia twende ukakataa unaona sasa.

Nilijilaumu sana.
 
Tarehe kama ya leo miaka 10 iliyopita, Timu kubwa kwa Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati, Simba Sports a.k.a Lunyasi walimnyoa Yanga jumla ya magoli 5-0.

Unakumbuka nini kuhusu mechi hii? Karibu sana mwanasimba utukumbushe miaka 10 ya mechi hii...

View attachment 2213824
Asante kwa kumbukumbu murua kabsa hii

Itadumu milele na milele ameeen.
 
Back
Top Bottom