Kumbukumbu: Leo ni miaka 10 tangu Simba amfunge Yanga 5-0

Kumbukumbu: Leo ni miaka 10 tangu Simba amfunge Yanga 5-0

Siku hiyo nilikuwa Kinondoni B. Kuna jamaa yangu alikuja kutoka Dom kwenye Shughuli zake za kibiashara sasa akafikia Gheto langu hapohapo Kinondoni. Mida ya saa 7 jamaa akaniambia twende Taifa tukacheki game.

Muda huohuo kulikuwa na game ya Man U (Sikumbuki ilikuwa vs nani) nikasema siwezi kwenda Taifa niache Match ya Man U. Kwakuwa mie ni Simba na Man U. Na hata hivyo pressure za watani wajadi huwa sizipendi kabisa. Jamaa yangu yeye alikuwa Simba pia.

Baada ya game jamaa ananiambia nilikuambia twende ukakataa unaona sasa.

Nilijilaumu sana.
Ungekuwa sehemu ya historia ya mashabiki walioshuhudia mauaji ya sharubela
 
Mbona ni jambo la kawaida sana!zinapasuliwa timu kubwa mfano Aston villa walimpasua Liverpool bao 6.Nyie mabinti wa Mwamedi mnaona jambo geni sana eenh!!
 
Back
Top Bottom