Kumbukumbu: Leo ni miaka 10 tangu Simba amfunge Yanga 5-0

Mbona ni jambo la kawaida sana!zinapasuliwa timu kubwa mfano Aston villa walimpasua Liverpool bao 6.Nyie mabinti wa Mwamedi mnaona jambo geni sana eenh!!
Leo ndo umelijua hilo mkuu? Mkifungwa nyie mnasema ndivyo mpira ulivyo. Akifungwa simba unakuwa wimbo
 
Tarehe kama ya leo miaka 10 iliyopita, Timu kubwa kwa Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati, Simba Sports a.k.a Lunyasi walimnyoa Yanga jumla ya magoli 5-0.

Unakumbuka nini kuhusu mechi hii? Karibu sana mwanasimba utukumbushe miaka 10 ya mechi hii...

View attachment 2213824
Mechi ndiyo ilikuwa derby ya kwanza kwa Jonas Gerald Mkude kuicheza aliingia dakika ya 80 nafikiri.

From there the rest is history.

Kipindi hicho front three ya Simba yupo Emanuel Okwi Felix Sunzu na Boban.

Nyuma yao yupo Patrick Mtesa Mafisango, Ramadhani Chombo Redondo na Amri, Rashid Gumbo.

Kocha Milovan Cirkovic
 
Na mpaka Leo wameshindwa kutulipa[emoji3][emoji3]
Dah..masikini weeeee mashabiki wengi wa simba mmekuja kipindi hiki cha Mo hamuijui vzr timu yenu deni ambalo tunalo kwa faida ya wengi ni deni la 6 bila hzo 5 mlikuwa mnalipa deni sisi ndio wa kwanza kuwafunga 5 bila sina haja ya kukutafunia kila kitu gugo utaona
 
Mo 2012 alikuwepo? Lipeni tuone nyie si mnajifanya Wana history
 
Dah..masikini weeeee mashabiki wengi wa simba mmekuja kipindi hiki cha Mo hamuijui vzr timu yenu deni ambalo tunalo kwa faida ya wengi ni deni la 6 bila hzo 5 mlikuwa mnalipa deni sisi ndio wa kwanza kuwafunga 5 bila sina haja ya kukutafunia kila kitu gugo utaona
Hakuna mtu wa kupoteza muda wake kwenda kutafutiliza / ku gugo eti Yanga alimfunga simba goli 5 lini kwa kitu ambacho hakipo. Hizo stori zenu za kutunga zitawaozea kwenye magunia. Rekodi ilishawekwa hiyo wala haiwezi kuvunjwa na timu nyingine zaidi ya simba kuongeza rekodi.

Tena mkileta ubishi ipo siku tutawapasua 7+
 
kuna rekodi iliwekwa kule Congo na Misri timu kufungwa dabo Khamsa! Nayo tujikumbushe!!
 
Mechi ndiyo ilikuwa derby ya kwanza kwa Jonas Gerald Mkude kuicheza aliingia dakika ya 80 nafikiri.

From there the rest is history.

Kipindi hicho front three ya Simba yupo Emanuel Okwi Felix Sunzu na Boban.

Nyuma yao yupo Patrick Mtesa Mafisango, Ramadhani Chombo Redondo na Amri, Rashid Gumbo.

Kocha Milovan Cirkovic
Redondo na Mafisango hawakuwahi kucheza pamoja Simba kama unakumbuka vizuri, Mafisango alinadilishana na Chombo kutoka Azam kwenda Simba
 
Ikifika tarehe ile simba walisusia mechi na kutoka uwanjani..mtaiweka hapa pia
 
Tarehe kama ya leo miaka 10 iliyopita, Timu kubwa kwa Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati, Simba Sports a.k.a Lunyasi walimnyoa Yanga jumla ya magoli 5-0.

Unakumbuka nini kuhusu mechi hii? Karibu sana mwanasimba utukumbushe miaka 10 ya mechi hii...

View attachment 2213824
Mtani Shadeeya nadhani ulikuwa mpenzi wa somo la historia shuleni.

Practical yake ni kama hivi sasa.... na kukumbusha tu historia ni nini kwa lugha ya wazungu wa Uingereza

History is the study of the past, present in order to determine the future.

Naipenda historia😍😍
 
Huko nyuma mbona na sie tushawafunga goli nyingi pia.

Hapa mna nguvu tu sababu nyie ndo wa mwisho kufunga hizo goli.
Lete kumbukumbu hiyo mtani maana mimi najua tulishawafunga 6.😂
 
Back
Top Bottom