Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
-
- #21
Ungekuwa sehemu ya historia ya mashabiki walioshuhudia mauaji ya sharubelaSiku hiyo nilikuwa Kinondoni B. Kuna jamaa yangu alikuja kutoka Dom kwenye Shughuli zake za kibiashara sasa akafikia Gheto langu hapohapo Kinondoni. Mida ya saa 7 jamaa akaniambia twende Taifa tukacheki game.
Muda huohuo kulikuwa na game ya Man U (Sikumbuki ilikuwa vs nani) nikasema siwezi kwenda Taifa niache Match ya Man U. Kwakuwa mie ni Simba na Man U. Na hata hivyo pressure za watani wajadi huwa sizipendi kabisa. Jamaa yangu yeye alikuwa Simba pia.
Baada ya game jamaa ananiambia nilikuambia twende ukakataa unaona sasa.
Nilijilaumu sana.
Hahaha golini ndo alikuwa Yaw Berko?? Ila Mutesa Mafisango mungu amlaze mahali pema peponi aminaEmmanuel Okwi aliwafanya kitu mbaya Uto, lile goli la kwanza uhuru ulipitiliza yaani..!
Hawatakaa waje wasahau mabeki wao..!
Imebidi kwanza nikachungulie Youtube!!
Hawaamini macho yaoUtopolo Ilizabuliwa 5~0 Na Ikatoka Hoi Mpaka Kesho
Haitokaa itokeeWan dei yesi.
🙏🏾🙏🏾Asante kwa kumbukumbu murua kabsa hii
Itadumu milele na milele ameeen.
We call it povuMbona ni jambo la kawaida sana!zinapasuliwa timu kubwa mfano Aston villa walimpasua Liverpool bao 6.Nyie mabinti wa Mwamedi mnaona jambo geni sana eenh!!
Ila tukimkamataga Uto tunabonda vibayaNa miezi miwili ijayo tutakuwa na anniversary nyingine zile goli 4-1
Wana midomo sana tukiwashika tunawachapa ile ya kimbariIla tukimkamataga Uto tunabonda vibaya
Huko nyuma mbona na sie tushawafunga goli nyingi pia.Haitokaa itokee
Leta takwimu mtaniHuko nyuma mbona na sie tushawafunga goli nyingi pia.
Hapa mna nguvu tu sababu nyie ndo wa mwisho kufunga hizo goli.
Hahahaaa. Unaniangusha ujue Mtani.. 🤣🤣Leta takwimu mtani
68 kote mtani hata jina lilikua la kizamaniHahahaaa. Unaniangusha ujue Mtani.. 🤣🤣
Hivyo huna habari kama tushawahi wafunga 6 mwaka 1968 kabla hamjajiita 5imba mkiwa mnatumia jina lenu la Sunderland. 😎
Kagoogle utaona Mtani hapa link haziruhusiwagi kama sikosei.
kumbe ni sunderland!Hahahaaa. Unaniangusha ujue Mtani..
🤣 Ndo mana nikasema mna nguvu sababu zenu ni za karibuni.68 kote mtani hata jina lilikua la kizamani