Manofu
JF-Expert Member
- Nov 3, 2018
- 1,317
- 2,020
Nakumbuka nilikuwa kijijini baada ya UCHAGUZI wa mwaka jana na kura kuanza kuhesabiwa ghafla siku ya kwanza yakuhesabu kura mtandao wa internet ukawa haupatikani nikaona labda itakuwa nitatizo la kiufundi. Aisee tumeenda siku ya pili mpaka wiki inapita no internet. Kuja kushtuka jiwe kaisha hapishwa. Ila jiwe kwa kweli utokaa unitoke kichwani.