Said Shabani Kondo
JF-Expert Member
- Sep 24, 2021
- 312
- 196
Jiwe na Na Chumvi ya Mawe nani Mzuri? ( Mama Tozo )Nakumbuka nilikuwa kijijini baada ya UCHAGUZI wa mwaka jana na kura kuanza kuhesabiwa ghafla siku ya kwanza yakuhesabu kura mtandao wa internet ukawa haupatikani nikaona labda itakuwa nitatizo la kiufundi. Aisee tumeenda siku ya pili mpaka wiki inapita no internet. Kuja kushtuka jiwe kaisha hapishwa. Ila jiwe kwa kweli utokaa unitoke kichwani.