Kumbukumbu: Siku Mtandao wa Intaneti ulipokatwa kwa Wiki nzima kisa Matokeo ya Uchaguzi

Jiwe na Na Chumvi ya Mawe nani Mzuri? ( Mama Tozo )
 
Mbona hata juzi mmezimiwa Internet msisikilize hotuba ya Lisu?au na penyewe ni JPM ndiyo ameamuru?
 
πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜
Madikiteta huwa hawaozi, dikiteta Adolf Hitler mpaka leo anazungumziwa kama vile yupo hai! John F. Kennedy ukarimu na upole wake amesahaulika uwepo wake duniani.
 
Maisha ya jiwe yalikuwa na mafundo mengi sana kwa viongozi sema sikio la kufa halisikii dawa.
Watapigwa tukio lingine we waache tu aendelee kujitoa ufahamu

I hope sanaa kuonea watu ambao wapo kimya
 
halafu leo hayupo kweli Mungu si Asumanj
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…