Kumbukumbu ya kuundwa kwa chama cha AA mwaka 1927 chini ya Sesilia Matola

vifungo vya suruali vimekatika , inakwenda magotini.
 
Miaka nenda rudi nipo katika rekodi nikisema, 'tunaheshimu sana mchango wa wazee wetu kupigania uhuru'

Nimesema mara nyingi huko nyuma na hapa katika uzi huu kuwa Nyerere na Abdul ni watu wawili tofauti wakiwana sifa tofauti. Kumfanya Nyerere dhalili ili Abdul an'gare si sahihi na wala kumfanya Nyerere ni zaidi ya Abdul si sahihi. Hawa watu ni tofauti na wana michango tofauti

Mohamed kasoma mashtaka kuhusu akina Kleruu na Kivukoni. Tumeyapokea
tunamuuliza ushahidi wa mashtaka hayo ni upi?

Jibu: Abdul alisema, Tewa alisema. Huo si ushahidi

Katika kuhakikisha anaondoa mchango wa Nyerere, Mohamed anasema alinukuu katiba ya Nkrumah

Hata juzi Prof apalamagamba alisema tumenukuu baadhi ya sheria za madini kutokana nchi alizotaja

Bunge letu linafuata mfumo wa west mister ambao tumenukuu. Hilo si kosa
Kosa ni Nyerere kuandika katiba kwa kunukuu, kana kwamba alitakiwa aje na kitu kipya duniani

Katiba za dunia zinategemeana hubadilika kutokana na mazingira
Katika kufifisha hoja, Mohamed anasema katiba ilikuwepo kabla ya Nyerere kupitia sub commmittee

Katiba anayosema eti 'ilinyofolewa'

Ndipo tunakuja na maswali, nani aliandika, lini na ilitumika wapi

AA na TAA zilikuwa na katiba ipi, nani aliandika na ilitumika wapi
Kabla ya Nyerere nani mwingine aliandika au kunukuu katiba

Maswali hayo ana majibu yake, tatizo ni kutotaka kusema ukweli
Ukweli kwake ni maneno ya Abdul. Kwa watu wanaotumia vichwa hiyo ni ngano na tamthilia
 
Haya ndiyo mashtaka waliyosomewa wahusika na Mohamed Said Salum Muyukwa Semtungo. Tunayapokea mezani na kurudi kwake

Tupe ushahidi wa katiba za AA au TAA na kisha tueleze nani aliandika katiba ya TANU
 
vifungo vya suruali vimekatika , inakwenda magotini.
 
Haya ndiyo mashtaka waliyosomewa wahusika na Mohamed Said Salum Muyukwa Semtungo. Tunayapokea mezani na kurudi kwake

Tupe ushahidi wa katiba za AA au TAA na kisha tueleze nani aliandika katiba ya TANU
vifungo vya suruali vimekatika , inakwenda magotini.
 
vifungo vya suruali vimekatika , inakwenda magotini.
Jackline,
Kuna tofauti kati ya mjadala wa heshima na ufedhuli.

Mtu mwenye hasad katika roho yake huwa hajifichi vile vitu vinavyochoma
moyo wake huwa anavidhihirisha.
Ha ha ha ha, Mkuki!

Haitakuondoa kwenye kona, sana sana unaweza kuomba taulo.

Hoja zipo pale pale zinasimama kama zilivyo na jamvi lipo kimyaaa linamsubiri mzee aje atanabahishe

Katiba ya AA au TAA na nani kaandika ya TANU.Period
 
hapa hawezi kurudi na akija hawezi jibu ataanza ngano zake!
 
hapa hawezi kurudi na akija hawezi jibu ataanza ngano zake!
Bandiko 207 au 264 nimenukuu mashtaka ya Mohamed dhidi ya wenzake halafu nikauliza haya
 
Ha ha ha ha, Mkuki!

Haitakuondoa kwenye kona, sana sana unaweza kuomba taulo.

Hoja zipo pale pale zinasimama kama zilivyo na jamvi lipo kimyaaa linamsubiri mzee aje atanabahishe

Katiba ya AA au TAA na nani kaandika ya TANU.Period
vifungo vya suruali vimekatika , inakwenda magotini.
 
vifungo vya suruali vimekatika , inakwenda magotini.
Jackline,
Kuna tofauti kati ya mjadala wa heshima na ufedhuli.

Mtu mwenye hasad katika roho yake huwa hajifichi vile vitu vinavyochoma
moyo wake huwa anavidhihirisha.
Hizi ni jitihada za kufifisha mada ili usikabiliane na ukweli

Unajitahidi sana suala hili liishie, haisaidii

Jibu hoja, yes ...pants down!
 
bravo nguruvi3,mzee wa ngano kakimbia!
ukweli utamuweka huru!
 
bravo nguruvi3,mzee wa ngano kakimbia!
ukweli utamuweka huru!
Mtanganyika,
Hakika nimekimbia ulipokuwa mjadala tumejadili.
Zilipoingia kejeli, hamaki na matusi kama kawaida yangu nimekimbia
kutoka uwanja wa zomea zomea kama zinavyoonekana hapo chini:
vifungo vya suruali vimekatika , inakwenda magotini.
mzee wa ngano kakimbia!
Haitakuondoa kwenye kona, sana sana unaweza kuomba taulo.
 
bravo nguruvi3,mzee wa ngano kakimbia!ukweli utamuweka huru!
Ni mzuri sana wa kubadili hoja.
Akielemewa utasikia anaingiza picha na maelezo mareefu kupoteza wasomaji

Hoja ya kwamba katiba ya TANU iliandikwa anaigeuza
Anasema Nyerere alipokea wapi uongozi ikiwa TAA haikuwa chama cha siasa

Yes inaweza kuwa ni chama cha siasa lakini hakikuwa na muongozo ambao ni katiba
Kuwa na mkusanyiko hakutoshi kuwa chama hata zama hizi. Ni lazima msajili apewe muongozo

Ndio maana wapo waliohoji kama vilikuwa vyama vya siasa kweli.
Ili kupata uthabiti wa nini kilitokea anayewapinga anapaswa kutuonyesha kwa ushahidi ilikuwa abcd

Kutuaminisha tu Abdul alisema, kisha kugeuza kibao na kusema ni Tewa, ni kubabaika
Hatuwezi kuwa na ushahidi wa maneno ya 'alisema'

Kwamba kulikuwa na sub committee iliyofanya kazi ya kuandika katiba ni jitihada za kuonyesha Nyerere si lolote si chochote kama alivyowahi kusema siku za nyuma

Nyerere kupokea uongozi halikuwa kosa, transformation ya chama ilikuwa muhimu sana
 
Mtanganyika,
Hakika nimekimbia ulipokuwa mjadala tumejadili.
Zilipoingia kejeli, hamaki na matusi kama kawaida yangu nimekimbia:
Unadhani unayo haki ya kejeli kuita wenzako mafedhuli, huna haki ya kupewa misemo ya kawaida kabisa katika lugha '...pants down' Hilo si tusi Mfasiri wetu
Ni lugha

Umekimbia hoja rudi hapa vijana wanakusubiri, wametunduwaa !
 
Unadhani unayo haki ya kejeli kuita wenzako mafedhuli, huna haki ya kupewa misemo ya kawaida kabisa katika lugha '...pants down' Hilo si tusi Mfasiri wetu
Ni lugha

Umekimbia hoja rudi hapa vijana wanakusubiri, wametunduwaa !

vifungo vya suruali vimekatika , inakwenda magotini.
mzee wa ngano kakimbia!
Haitakuondoa kwenye kona, sana sana unaweza kuomba taulo.
Nacheka sana nikifikiria kama vikombe na glasi zipo salama hapo nyumbani.

vifungo vya suruali vimekatika , inakwenda magotini.
mzee wa ngano kakimbia!
Haitakuondoa kwenye kona, sana sana unaweza kuomba taulo.
Mashallah, 'kisu kimegusa mfupa' imekuchoma kuliko husda uliyosema ninayo
Nacheka sana nikifikiria kama vikombe na glasi zipo salama hapo nyumbani.

Yote ni heri, kilichosimama mbele na ambacho wengi wanataka kusikia majibu ni hiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…