Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Yericko,Nashuru kwa masahihisho ewe mswahili
Kubwa mambo hayajakaa vyema katika kitabu chako.
Nani publisher wako?
Huna publisher ndiyo maana unafanya shughuli za
masoko mwenyewe?
Ikiwa ni ''self publishing,'' ni kuwa hakuna publisher
aliyeona kitabu chako ni kitabu.
Nani atanunua kitabu chako?
Nakuambia haya kwa kuwa naijua biashara ya vitabu
na uchapaji.
Booksellers yaani wauza vitabu hawashughuliki na
mwandishi wao mtu wao ni publisher na mapublisher
wanajualikana na aina ya vitabu wanavyochapa na
kusambaza.
Halafu bei ya kitabu kubwa mno.
Kaa ufikiri...