Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Yericko,Nashuru kwa masahihisho ewe mswahili
Yericko,
Nashukuru kwa ushauri mkuu... Kwa taarifa kidogo nikuwa kitabu kinauzika vizuri nijambo la kuongeza utafutaji wa masoko tuYericko,
Kubwa mambo hayajakaa vyema katika kitabu chako.
Nani publisher wako?
Huna publisher ndiyo maana unafanya shughuli za
masoko mwenyewe?
Ikiwa ni ''self publishing,'' ni kuwa hakuna publisher
aliyeona kitabu chako ni kitabu.
Nani atanunua kitabu chako?
Nakuambia haya kwa kuwa naijua biashara ya vitabu
na uchapaji.
Booksellers yaani wauza vitabu hawashughuliki na
mwandishi wao mtu wao ni publisher na mapublisher
wanajualikana na aina ya vitabu wanavyochapa na
kusambaza.
Halafu bei ya kitabu kubwa mno.
Kaa ufikiri...
Yericko,Nashukuru kwa ushauri mkuu... Kwa taarifa kidogo nikuwa kitabu kinauzika vizuri nijambo la kuongeza utafutaji wa masoko tu
Unasemaje siuzi wakati nauza na unakiona kwa macho yako kuwa kipo sokoni?Yericko,
Mimi naijua biashara ya vitabu...
Kitabu ili kiuzike kinahitaji mambo kadhaa.
Je kuna msomi yeyote kakifanyia, ''review?''
Huuzi kitabu bila, ''review.''
Mkuu, mimi nimependekeza hapo juu tukitafute hiki kitabu tukisome,Hapa kuna ushindani wa madaraja tofauti...mohamed said ni mtaaluma mbobezi na huyu mwandishi wa kitabu wa hapa nchini kama akina shigongo...kosa lake amevamia kuandika mambo ya intellectuals...yaani haya mnayozungumza na kichwa cha habari cha kitabu chenyewe tofauti kabisa...
Sent using Jamii Forums mobile app
Yericko,Unasemaje siuzi wakati nauza na unakiona kwa macho yako kuwa kipo sokoni?
Hapo mtabishana sana. Shughuli ya utungaji vitabu, inataka weledi na kukubali taratibu za utungaji vitabu kwa kuzingatia masharti ya upatikanaji wa International Standard Book Number (ISBN).Yericko,
Mimi naijua biashara ya vitabu...
Kitabu ili kiuzike kinahitaji mambo kadhaa.
Je kuna msomi yeyote kakifanyia, ''review?''
Huuzi kitabu bila, ''review.''
Pamoja na tofauti zangu ndogo dhidi ya baadhi ya maandiko yako nakiri wewe Mzee umejaaliwa kiwango kikubwa cha ustaarabu!Chige,
Ahsante sana kaka.
Umetoa msaada mkubwa sana kwa Yericko na mimi pia umenielimisha.
Magangwala,Pamoja na tofauti zangu ndogo dhidi ya baadhi ya maandiko yako nakiri wewe Mzee umejaaliwa kiwango kikubwa cha ustaarabu!
Mkuu heri nisiandike vitabu kama mtu mwenyewe ni kama huyu mzee wa soga...Hongera Yericho, ila ili ufike mbali wakongwe kama akina mzee Mohamed Said jitahidi wawe upande wako. Mfano hiki kitabu chako angekipitia na kukifanyia review yeye au kukushauri ni nani hasa anafaa kukifanyia review kutokana na yale uliyoyaandika ili kikienda Sokoni inshallah kifanye vizuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yericko,Mkuu heri nisiandike vitabu kama mtu mwenyewe ni kama huyu mzee wa soga...
Mzee achana nae ,anajaribu kueneza propaganda ,nawe ni kichwa mpaka us university wanajua maandiko yakoYericko,
Ujuvi huviza akili.
Tzfanatic,Mzee achana nae ,anajaribu kueneza propaganda ,nawe ni kichwa mpaka us university wanajua maandiko yako