poorbillionaire
JF-Expert Member
- Mar 4, 2014
- 424
- 239
acha tu kaka, mama mzazi wa yule binti alichanganyikiwa akili kabisa akawa kichaa kumpoteza first born na tena asipate hata maiti yake aizike..it was a double tragedy to that family.
Kuna jamaa alikua fundi seremala kipindi hicho na nilimpatia oda ya kitanda. Alipotea ghafla na siku nilipokutana nae huyo bwana alikua tajiri wa kutisha.nilimkumbusha oda yangu na advance niliyompa akaenda kuninunulia kitanda kipya on the spot.
Wavulana wa Ihungo je? Tena wengine ndio walikuwa wamemaliza form six. Kuna mzee mmoja alipoteza mwanaye pekee aliyetoka kijijini na kufanikiwa kufika high skul, alikuwa anatembea kwa miguu kutoka Igoma to mjini. Sikuwahi elewa kwa nini hakutaka kupanda gari kwa muda kama wa siku 3.
kaka sijakulewa stori za kitanda na kuzama kwa MV Bukoba..ina maana jamaa alitajirika kupitia hii ajali au?
Mmmh, alijitoa mhanga??MV Bukoba was a Lake Victoria ferry that carried passengers and cargo between the Tanzanian ports of Bukoba and Mwanza. Bukoba was built in about 1979 and had capacity for 850 tons of cargo and 430 passengers.[1]
On 21 May 1996 Bukoba sank 30 nautical miles (56 km) off Mwanza in 25 metres (14 fathoms) of water, with the loss of up to 1,000 passengers.[1]
SinkingEdit
The manifest for her final voyage showed 443 passengers in her first and second class cabins, but her cheaper third class accommodation had no manifest.[1] Abu Ubaidah al-Banshiri, who was then second in command of Al Qaeda, died in the disaster..
ulikuwa ni uzembe wa hali ya juu wa mamlaka husika,na mpaka leo bado hatujajifunza kwani tumeendelea kushuhudia ajali nyingi tu za majini kama ile ya mv skargit.Wapumzike kwa amani.
Mmmh, alijitoa mhanga??
Hivi majuzi niliipanda MV VICTORIA, meli pekee ya abiria iliyosalia kwa safari za Mwanza - Bukoba, aisee ni majanga! Meli hiyo ikiendelea kufanya safari zake bila kufanyiwa ukarabati wa hali ya juu, watanzania tujiandae kupokea msiba mkubwa kuzidi ule wa MV BUKOBA! Eee.. Mungu baba igutushe serikali na ikaikarabati meli hii, nayo ikaepusha janga la kupoteza roho za watanzania wengine wengi zaidi, kwani meli hii ni kubwa na inabeba abiria wengi zaidi ya ile MV BUKOBA!
Inasemekana wamerekani ndo walioizamisha ndo maana hata taarifa za kuzama Tanzania ilipewa na Marekani. Baada ya tukio hilo ndipo Alkaeda walipolipua ubalozi wa Tanzania na Kenya ikiwa ni kisasi kwa kifo cha kamanda wao. Inasemekana hata kulipuliwa kwa majengo ya Twin Towers ni muendelezo wa hiyo movie
Inasemekana wamerekani ndo walioizamisha ndo maana hata taarifa za kuzama Tanzania ilipewa na Marekani. Baada ya tukio hilo ndipo Alkaeda walipolipua ubalozi wa Tanzania na Kenya ikiwa ni kisasi kwa kifo cha kamanda wao. Inasemekana hata kulipuliwa kwa majengo ya Twin Towers ni muendelezo wa hiyo movie
Mimi nimetokea kuogopa sana meli baada ya tukio lile ingawa nilipanda MV Victoria mara moja mwaka 1998 tangu litokee janga lile lakini wakati huo kulikuwa bado na umakini mkubwa na ilikuwa angalau inakarabatiwa mara kwa mara. Lakini sasa hivi watakuwa tayari wamesahau. Nitaishia kupanda mabasi tu.
aliyekuwa mwalimu wangu wa Physics pale Makongo alipoteza familia nzima ktk ajali hii