Kumbukumbu ya kuzama kwa MV Bukoba tarehe 21 May, 1996

Kumbukumbu ya kuzama kwa MV Bukoba tarehe 21 May, 1996

acha tu kaka, mama mzazi wa yule binti alichanganyikiwa akili kabisa akawa kichaa kumpoteza first born na tena asipate hata maiti yake aizike..it was a double tragedy to that family.

Yah that's correct wording, double tragedy!
 
Kuna jamaa alikua fundi seremala kipindi hicho na nilimpatia oda ya kitanda. Alipotea ghafla na siku nilipokutana nae huyo bwana alikua tajiri wa kutisha.nilimkumbusha oda yangu na advance niliyompa akaenda kuninunulia kitanda kipya on the spot.

kaka sijakulewa stori za kitanda na kuzama kwa MV Bukoba..ina maana jamaa alitajirika kupitia hii ajali au?
 
Wavulana wa Ihungo je? Tena wengine ndio walikuwa wamemaliza form six. Kuna mzee mmoja alipoteza mwanaye pekee aliyetoka kijijini na kufanikiwa kufika high skul, alikuwa anatembea kwa miguu kutoka Igoma to mjini. Sikuwahi elewa kwa nini hakutaka kupanda gari kwa muda kama wa siku 3.

Mama aliyechanganyikiwa binti yake wa kwanza aliyezama na meli pia alikuwa kamaliza form six rugambwa... very sad to that family.
 
MV Bukoba was a Lake Victoria ferry that carried passengers and cargo between the Tanzanian ports of Bukoba and Mwanza. Bukoba was built in about 1979 and had capacity for 850 tons of cargo and 430 passengers.[1]

On 21 May 1996 Bukoba sank 30 nautical miles (56 km) off Mwanza in 25 metres (14 fathoms) of water, with the loss of up to 1,000 passengers.[1]

SinkingEdit
The manifest for her final voyage showed 443 passengers in her first and second class cabins, but her cheaper third class accommodation had no manifest.[1] Abu Ubaidah al-Banshiri, who was then second in command of Al Qaeda, died in the disaster..
 
Mmmh, alijitoa mhanga??
 
Hali ya ajali ya meli uisikie kwa jiranni yako kwani hiyo ajali ya mv bukoba inasikitisha sana jinsi watu walivyopoteza uhai kwa mamia.
 
ulikuwa ni uzembe wa hali ya juu wa mamlaka husika,na mpaka leo bado hatujajifunza kwani tumeendelea kushuhudia ajali nyingi tu za majini kama ile ya mv skargit.Wapumzike kwa amani.

funny enought hao jamaa wako huru.walishnda kes
 
Nawakumbuka sana walimu wenzangu tuliowahi kufundisha pamoja Rwambaizi secondary, Mr. Edward Martine na Mr. Buchocho, duh ilinisikitisha sana. Huenda na mimi labda ningekuwa katika safari hiyo kama bado ningekuwa nafundisha hapo. Mungu aliwapenda zaidi kwa kweli.
 
Mmmh, alijitoa mhanga??

Inasemekana wamerekani ndo walioizamisha ndo maana hata taarifa za kuzama Tanzania ilipewa na Marekani. Baada ya tukio hilo ndipo Alkaeda walipolipua ubalozi wa Tanzania na Kenya ikiwa ni kisasi kwa kifo cha kamanda wao. Inasemekana hata kulipuliwa kwa majengo ya Twin Towers ni muendelezo wa hiyo movie
 
Hivi majuzi niliipanda MV VICTORIA, meli pekee ya abiria iliyosalia kwa safari za Mwanza - Bukoba, aisee ni majanga! Meli hiyo ikiendelea kufanya safari zake bila kufanyiwa ukarabati wa hali ya juu, watanzania tujiandae kupokea msiba mkubwa kuzidi ule wa MV BUKOBA! Eee.. Mungu baba igutushe serikali na ikaikarabati meli hii, nayo ikaepusha janga la kupoteza roho za watanzania wengine wengi zaidi, kwani meli hii ni kubwa na inabeba abiria wengi zaidi ya ile MV BUKOBA!

Mimi nimetokea kuogopa sana meli baada ya tukio lile ingawa nilipanda MV Victoria mara moja mwaka 1998 tangu litokee janga lile lakini wakati huo kulikuwa bado na umakini mkubwa na ilikuwa angalau inakarabatiwa mara kwa mara. Lakini sasa hivi watakuwa tayari wamesahau. Nitaishia kupanda mabasi tu.
 
Duh, makubwa haya. Ngoja nije nifukunyue kujua ni nini.

Inasemekana wamerekani ndo walioizamisha ndo maana hata taarifa za kuzama Tanzania ilipewa na Marekani. Baada ya tukio hilo ndipo Alkaeda walipolipua ubalozi wa Tanzania na Kenya ikiwa ni kisasi kwa kifo cha kamanda wao. Inasemekana hata kulipuliwa kwa majengo ya Twin Towers ni muendelezo wa hiyo movie
 
Namkumbuka maChirstina Laurian,Eva,Pastory Pauln ambaye baba yake alikufa kwa mshituko na wengine wengine wengi.
 
Inasemekana wamerekani ndo walioizamisha ndo maana hata taarifa za kuzama Tanzania ilipewa na Marekani. Baada ya tukio hilo ndipo Alkaeda walipolipua ubalozi wa Tanzania na Kenya ikiwa ni kisasi kwa kifo cha kamanda wao. Inasemekana hata kulipuliwa kwa majengo ya Twin Towers ni muendelezo wa hiyo movie

Mmm mkuu kwa hiyo lengo lao lilikuwa kumuua huyo Al-Qaeda ee, lakini mbona meli ile ilikuwa na sifa zote za kuzama? Anyway it is your conspiracy theory.
 
Wapumzike kwa amani wote,Mwenyezi Mungu aliwapenda zaidi.
 
Mimi nimetokea kuogopa sana meli baada ya tukio lile ingawa nilipanda MV Victoria mara moja mwaka 1998 tangu litokee janga lile lakini wakati huo kulikuwa bado na umakini mkubwa na ilikuwa angalau inakarabatiwa mara kwa mara. Lakini sasa hivi watakuwa tayari wamesahau. Nitaishia kupanda mabasi tu.

Huna ujanja hayo mabus si ndo kila siku yanachinja chinja kwa uzembe
 
Kongosho kuna watu wanadai kule ziwani kulikuwa/kuna manowari ya kivita ya Merekani/Uingereza lakini haikusaidia!
 
Last edited by a moderator:
Nilipoteza ndugu zangu WA 4,walikuwa wanaenda Mwanza kuuza ndizi,nakumbuka ulikuwa Ni msiba mkubwa Sana pale kijijni.
 
Back
Top Bottom