Kumbukumbu ya kuzama kwa MV Bukoba tarehe 21 May, 1996

Kumbukumbu ya kuzama kwa MV Bukoba tarehe 21 May, 1996

Hii ajali na ile ya treni kule dodoma nadhani bado zinashikilia rekodi za juu hapa Tz.
Tena zote hizi zilisababishwa na uzembe.
Kwa bahati mbaya tangu niwe hai sijawahi kupanda treni wala meli sijui nitapata hisia gani nikija kupanda hivi vyombo😕:A S cry:

labda Tanganyika na siyo Tanzania..
 
Wapo wanaodai ilikua kafara ya mkapa ctaki kuamin juu ya hilo
na kumbuka nilimpoteza mjomba Wang Aliamin abubakary kachwamba...mungu amulaze mahali pema peponi.. ameen

pole sana..
 
Najiulizaga MV Bukoba kwanini ilitobolewa na kusababisha kuzama kabisa, Sayansi gani ilitumika hapo.

Msaada
 
ndo mana kuna mtu mmoja maarufu alisema tanzania wasomi hawazidi 7
 
sayansi ya maagizo ya wanasiasa,baada ya ushauri wa wataalamu,kama wanasiasa wanapoamua kutangaza umeme wa mgao kwetu utabaki historia,wakati wataalamu wenyewe wa tanesco wanajua bado hawajafikia hatua ya kumahakikishia mtanzania umeme wa mgao umefika mwisho,sayansi kama hizi za wanasiasa kila kitu siasa ndizo zilizotoboa mv bukoba na bado zinatoboa gurudumu la maisha ya mtanzania kila siku,asipoitumia kura yake mwakani vizuri hatazidi kuisoma namba za mataifa mengine yalomzungukA
 
Mkuu mwakani kura tunawapa wanasayansi!!?
 
Waulizwe wale wahindi wa garage ya Masumin Igogo,they are in a better position to say why?
 
yani wee ajuza wa kimatumbi siku iz badala ya kukuchukia nakupenda tu bure. Mtu mbea vitu vidogo vidogo kaa iv ni mwepes kugundua. Anyway u r still the most respected gt in here.

???????????????????????????:yell::loco::baby::A S-frusty:
 
Najiulizaga MV Bukoba kwanini ilitobolewa na kusababisha kuzama kabisa, Sayansi gani ilitumika hapo.

Msaada

Genji wa kamanga ferry aliwaambia waivute hadi kivukoni hao maccm kulikuwa na fisdi mmoja wakataka wamuwahi asife ndipo wakatoboa cha ajabu hakutoka mzima maji yaliingia akafa na yeye.
Mv victoria kwa sasa nayenyewe inapumulia mipira sumatra wasipoangalia itakuwa kama ya Bukoba.
 
Unafikiri Masaburi alikosea aliposema baadhi ya viongoz wanafikiri kwa kutumia mat.k?
 
Mr. Clean yupo, muulizeni ilikuwaje kuidhinisha jambo kama hilo. Hata mv spice nayo ilizamishwa. Inakuwaje wanamaji au wapiga mbizi wa kimataifa kutoka south Africa waletwe kusaidia na kushindwa kwa muda mfupi? Tusipoangalia washauri wa majanga watatumaliza badala ya kutuokoa pindi yatukutapo. Isitoshe, huyo Lukuvi alisomea wapi mambo ya crissis and rescue? Alishindwa na hata mafuriko ya dar na kimamba?
Tuwapigie kura ya no kwa kuanza na rasimu kisha uchaguzi mkuu tupwamwage na kusisimamia na kuzilinda kura zetu wasipate mwanya wa kuchakachua hata kama wamekupa chochote kitu ili kuikomboa nchi yetu. Malawi na zambia waliweza sisi tunashindwaje na kakikundi haka?
 
Back
Top Bottom