Kumbukumbu ya kuzama kwa MV Bukoba tarehe 21 May, 1996

Kumbukumbu ya kuzama kwa MV Bukoba tarehe 21 May, 1996

Machozi hayotonikauka.
Bahati mbaya bado hatukujifunza lolote kutokana na ajali ile.
 
Ilihuzunisha sana enzi hizo.Sidhani kama serekali yetu kuna ki2 ilijufunza kutoka kwenye ajali ile.Maana mv spice na ajal nyengne zilizokuja kutokea mbeleni zinatoa picha ya kias gan uwezo mdogo tulio nao wa kupambana na majanga bado,huku tukiwa tuna uwezo wa kuteketeza mamilion kusherekea muungano na kuwakatia tiket za first class mawazir wetu wasotaka kupanda biz clas na daraja la chin yaa
 
Kweli ajali ilikuwa mbaya sana tulipoteza wapendwa wetu wengi mie ndugu yangu Agustino Chacha Marwa alikuwemo bahati aliokoka aliweza kuogelea, Mungu awarehemu wote waliopeteza maisha.
 
Huu ni moja ya mnara wa kumbukumbu uliopo mwanza eneo la bwiru lakini naona kama hauna maana yoyote kwa sababu unachakaa tu na majina karibia yanafutika sasa serikali mko wapi????
 

Attachments

  • 1400794047765.jpg
    1400794047765.jpg
    14.8 KB · Views: 131
Leo tarehe ngapi?
Ungeandika kule kwenye hoja mchanganyiko!
Umechelewa.
 
Hii ajali na ile ya treni kule dodoma nadhani bado zinashikilia rekodi za juu hapa Tz.
Tena zote hizi zilisababishwa na uzembe.
Kwa bahati mbaya tangu niwe hai sijawahi kupanda treni wala meli sijui nitapata hisia gani nikija kupanda hivi vyombo😕:A S cry:
 
Wapo wanaodai ilikua kafara ya mkapa ctaki kuamin juu ya hilo
na kumbuka nilimpoteza mjomba Wang Aliamin abubakary kachwamba...mungu amulaze mahali pema peponi.. ameen
 
Back
Top Bottom