Kumbukumbu ya miaka 16 tangu kifo cha Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

Wanabodi,

Leo tunaadhimisha miaka 16 tangu kifo cha Baba wa Taifa, Mwalimu, Julius Kambarage Nyerere, swali langu ni kama Mwalimu Nyerere angekuwa hai hadi leo, jee angeendelea kuwepo CCM?!.

Niliwahi kupandisha uzi humu, kuelezea kama Mwalimu Nyerere angekuwa hai hadi leo, angemuunga nani mkono, mode wakaufuta huo uzi, japo mimi kama mwana jf, siruhusiwi kuingilia mamlaka ya mode kuifunga thread yoyote, ila pia tufike mahali, mwanajf yoyote ambaye ni thread starter, awe na the right to information kuwa thread yako imefutwa na kuelezwa sababu za ni kwa nini imefutwa!.

Swali hili ni kufuatia hali halisi iliyopo CCM, kama watu kama Kingunge Ngombale Mwiru na Juma Mwapachu, wameamua kuachana na CCM, Jee Nyerere angebaki?!.

Pasco
 
sidhani kama nyerere alikuwa na mapungufu ya kifikra kama hao watu wawili uliowataja hapo na instead nyerere angerekebisha tu hiyo hali ndani ya chama na maisha yangeendelea. ushujaa siyo kukimbia tatizo bali ni kulikabili na kulitatua kwani unaweza ukajikuta unatoka katika afadhali na kwenda katika potelea mbali.
 
Kauli ya Mwalimu Nyerere Kuhusu Lowassa: NEC Dodoma 1995
"Hapa hatuchagui mtu maarufu, tunachagua mtu safi na huyu si safi. Kama unapenda sura yake basi nenda kanywe naye chai. Wengine mnasema aaah ni tuhuma tu. Samuel (Sitta)! Yusuf (Makamba)! Mnasimama hapa mnasema ni tuhuma tuhuma tu! Lakini mtakumbuka mke wa Kaisari alipotuhumiwa kwa ugoni Kaisari akaagiza uchunguzi ufanyike. Uchunguzi ukafanyika na ikabainika kwamba sio kweli. Lakini Kaisari bado akamuacha, akasema mke wa Kaisari hapaswi hata kutuhumiwa. Na sisi hapa Mgombea wetu hapaswi hata kutuhumiwa wakati wapo wengine safi ambao hawana tuhuma. Kama mkimteua huyo mimi sitapiga kampeni. Siko tayari kumsafisha mtu matope halafu ndio nimuombee kura. Hapana kabisa. Huyu mimi najua si msafi na nchi nzima inajua si msafi. Hafai kuwa mgombea wetu." - Mwl. Julius Nyerere, NEC Dodoma, Juni 1995

mimi nataraji kuwa kama mwalimu angekuwepo leo hii kuna watu wangechezea bakora ile mbaya.
 
kwanini baada ya kifo cha nyerere Mashirika mengi ya umma Yalibinafsishwa ???
 
Salama ndugu!

Shikamoo Babu, Baba, Mlezi, Mzee Julius Nyerere.
Sisi tupo na uwe tayari kutupokea, walezi uliotuachia wanafanya yao. Sasa nayo TBL ishaondoka.

Salaam.
 
Attachments

  • 1444818708413.jpg
    1444818708413.jpg
    40.7 KB · Views: 201
Bahati nzuri umesema hakuwa malaika. Ni wazi kama binadamu alikuwa na mapungufu yake. Yeye mwenyewe aliwahi kusema ajabu watu wanaendeleza yale yale mabaya badala ya mazuri. Hilo tu linaonyesha jinsi alivyokuwa kiongozi mahiri. Wangapi wanakili makosa yao?
 
Ni miaka takribani 16 sasa tangu muasisi wa Taifa letu Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aage dunia...

Mwalimu alifanya kazi kubwa katika kujenga misingi ya nchi yetu.... Na kikubwa ni Imani yake juu ya Maendeleo..... Kuasisi mfumo wa Kijamaa Tanzania na...
Sana alikuwa akipigania na akihubiri maadui wakubwa watatu wa Taifa letu ...... UJINGA , UMASIKINI na MARADHI......

Wakati tunatafakari mema yake ili tuendelee kuyaenzi...... Leo hii zimebaki siku kumi kuelekea kwenye #UCHAGUZI MKUU - 2015#.... Kuna jambo limenigusa kuandika... Ni
#KURUDI KWA BABA WA TAIFA #

Moja ya Falsafa ya kiafrika inaamini.....
KUNA MAISHA BAADA YA KIFO...... FasilI..... Rahisi ya
Falsafa hii ni kuamini... Kuwa maisha ni #duara hivyo..... Kufa kwa mtu Ndio mwanzo wa maisha mapya ya mtu huyo.....
Msingi wa Falsafa ni Kuwa..... Daima
binadamu hatufi... Ila... Tunatimiliza mlinganyo wa maisha..
HIVYO KWANGU NAMUONA MWALIMU YUKO HAI KWA FALSAFA HII..... Kwa Kuwa bado tunaishi nae..... Licha ya Kuwa ni miaka 16 tangu afariki......

Kuna Falsafanyingine ya Jamii inaamini...

HERI KUFA NA MAWAZO YANAYOISHI.... KULIKO KUISHI NA MAWAZO YALIYOKUFA....
Ni dhahiri Kuwa hii ni Falsafa ya kimapinduzi... (inaweza tumiwa na Wana POSITIVISM SCHOOL OF THOUGH)
Na imesheheni... Dhana anuai Kuwa..... Ni vizuri katika maisha ya ulimwengu tuhakikishe pale tulipo... Tunafanya Kila tuwezalo..... Ili kuweka ALAMA..... Katika ulimwengu...... Alama inayorejelewa ni Alama chanya.... Si vinginevyo.... Yaani Wanaokuzunguka..... Watambue mchango WAKO si tu baada ya KIFO chako.....la hasha...... Hata wakati wa uhai WAKO....
MUHIMU...... Huwezi weka Alama katika ulimwengu..... Popote ulipo..... Usipojitambua..... Na kufahamu kwa nini uko hapo ulipo...... Na kutambua.....
Kuwa Kila kitu kina sababu.... HIVYO ZIPO SABABU ZA WEWE KUZALIWA..... Na kuwepo hapo..... Na zaidi upo hapo ulipo kwa kipindi flani tu...... Ndio uanuai wenyewe....
Umuhimu wa Mwalimu si tu umeonekana Leo.... HAPANA...... Ulionekana pia Hata wakati akiwa hai....... Akiwa kwenye madaraka...... Ndio maana..... Alipofariki wengi tuliwaza...... # Inawezekana maisha Bila Nyerere.....???

# NIRUDI KWENYE KIINI CHA MADA#

Hivi karibuni...... Tumesikia na kuona wagombea wakijinadi..... Kwa kueleza umma juu ya ilani zao na matamanio yao..... Wakipewa nafasi flani...... Ni dhahiri...... Yamesemwa mengi na kuzungumzwa mengi.....
Kikubwa kwangu ni...

a) Namna ambavyo wagombea wanatumia mawazo ya Mwalimu Nyerere katika kunadi sera zao.....

b) Wanavyotumia wasifu wa mwalimu Nyerere katika kujitengenezea mazingira ya kisiasa

c) Wanavyotumia nukuu za mwalimu Nyerere katika kufikia malengo kadhaa...... Nk....

YAPO mengi ya kusema hapo

UKICHUNGUZA WAGOMBEA WOTE..... Vyote wamavyohubiri...... Havichezi mbali na Maadui watatu wa Taifa hili...... Aliowataja Mwalimu Kuwa ni
#UJINGA
#UMASIKINI
#MARADHI .......

Muhimu ni Kuwa....... Mwalimu ni mtu muhimu sana katika historia ya nchi yetu na umma wa watanzania kwa ujumla ..... Mwalimu bado tunaishi nae wengi wetu..... Hivyo
Ni vizuri wakati tunatafakari miaka 16 ya KIFO cha Mwalimu.. Huku tukielekea kwenye Sanduku la kura October 25..... Tukafanya yafuatayo
..
1. Tukayaenzi mema aliyotenda Mwalimu.. kwa vitendo..
2. Tukahuisha Falsafa za Mwalimu katika maisha ya dhamana tulizopewa/tutakazopewa.
3. Tukaamini tunaweza Kuwa Kina Nyerere wa Leo... Na kesho...
Endapo..... Tutabeba mizigo ya dhamana tulizopewa / tutakazopewa kwa dhamira za dhati za mioyo yetu .....
Ndio ujumbe wangu kwako.....

MUNGU IBARIKI #TANZANIA....
MUNGU BARIKI #UCHAGUZI MKUU

( Ibrambeya@gmail.com )
 
Last edited by a moderator:

  • 1444820782140.jpg
    1444820782140.jpg
    74.7 KB · Views: 423
Last edited by a moderator:
Kuna mambo mengi kumuhusu mwalimu nyerere na mi nakubali kua alikua MTU mzuri katika kuongoza watu hasa kupigania haki lakini kuna mambo mengi tu aliyafanya ambayo yanaleta matatizo Leo kisa mwalimu alisema nyerere si mungu so si kila alichokisema kilikua sahihi kuna vingine alivitamka mpaka leo vinaleta athari kwa nchi yetu lazima tuamini huyu slikua binadamu na katika ubinadamu huo kuna maneno sliyokua anaongea ambayo hayakua sahihi kuyatamka lakini aliyatamka kwa kua alitaka MTU au watu Fulani wapate kitu Fulani mwalimu nyerere ilifika mahali akawa hataki kabisa kumsikia mmoja ya waliokua wanagombea urais john Samuel malecela kiasi kwamba alikua tayari kurudisha kadi ya ccm kama jina lake lisingeondolewa mapema na alifanya hivyo kwa chuki ambayo sijui ilitokea wapi kama kuna ambae anajua sababu ya nyerere nyingine ya kumchukia kwa kiwango cha juu malecela mwaka 95 kisa tu alikua anagombea urais aniambie hapa. Athari za nyerere hasa katka chaguzi za Tanzania ni nyingi sana ukimtaka huyu utasikia nyerere alimkataa ukiwauliza aliklmkataa kwa sababu zipi hawana majibu ya kueleweka

mnapenda kulialia. Unaonyesha ni jinsi gani ulivyokapuku kichwan.
Ww uliona wapi binadam anafanya mema yote? Au hata anafanya mema kwakuwa kila mtu anamtazamo wake lazma kuna mmoja hatapendezwa na utendaji wa mwingne.

Hata baba yako alikuwa hamtimizii kila kitu mama yako
 
Tukiwa tunakumbuka siku ya kifo cha Mwl J.K.Nyerere tunaamini kuwa aliishi kwa kuipenda nchi yake na uadilifu,utu,nidhamu kwa Taifa lake.
mwl Nyerere alisifika kwa misimamo yake thabiti ya kimaendeleo.tukiwa tunaingia katika uchaguzi mkuu tujiulize nani kati ya Magufuli na lowassa ambaye amekuwa karibu na Mwl Nyerere kiutendaji ili angalau awe amechota busara,hekima,utu japo hata kidogo toka kwa Mwl.Nyerere.pia tukipata picha za wagombea hawa wawili kila mmoja akiwa na Nyerere itapendeza kutupatia ushahidi.
 
Na mkimaliza mtwambie ni mwizi gani alisemwa na Mwl.Myerere na mtukumbushe mambo yalikuwaje
 
Nyerere nae alikua mwizi wa maneno meengi na yanayofundisha kwa kweli
 
§ THE RETURNS OF MWALIMU NYERERE §

Ni miaka takribani 16 sasa tangu muasisi wa Taifa letu Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aage dunia...

Mwalimu alifanya kazi kubwa katika kujenga misingi ya nchi yetu.... Na kikubwa ni Imani yake juu ya Maendeleo..... Kuasisi mfumo wa Kijamaa Tanzania na...
Sana alikuwa akipigania na akihubiri maadui wakubwa watatu wa Taifa letu ...... UJINGA , UMASIKINI na MARADHI......

Wakati tunatafakari mema yake ili tuendelee kuyaenzi...... Leo hii zimebaki siku kumi kuelekea kwenye #UCHAGUZI MKUU - 2015#.... Kuna jambo limenigusa kuandika... Ni
#KURUDI KWA BABA WA TAIFA #

Moja ya Falsafa ya kiafrika inaamini.....
KUNA MAISHA BAADA YA KIFO...... FasilI..... Rahisi ya
Falsafa hii ni kuamini... Kuwa maisha ni #duara hivyo..... Kufa kwa mtu Ndio mwanzo wa maisha mapya ya mtu huyo.....
Msingi wa Falsafa ni Kuwa..... Daima
binadamu hatufi... Ila... Tunatimiliza mlinganyo wa maisha..
HIVYO KWANGU NAMUONA MWALIMU YUKO HAI KWA FALSAFA HII..... Kwa Kuwa bado tunaishi nae..... Licha ya Kuwa ni miaka 16 tangu afariki......

Kuna Falsafanyingine ya Jamii inaamini...

HERI KUFA NA MAWAZO YANAYOISHI.... KULIKO KUISHI NA MAWAZO YALIYOKUFA....
Ni dhahiri Kuwa hii ni Falsafa ya kimapinduzi... (inaweza tumiwa na Wana POSITIVISM SCHOOL OF THOUGH)
Na imesheheni... Dhana anuai Kuwa..... Ni vizuri katika maisha ya ulimwengu tuhakikishe pale tulipo... Tunafanya Kila tuwezalo..... Ili kuweka ALAMA..... Katika ulimwengu...... Alama inayorejelewa ni Alama chanya.... Si vinginevyo.... Yaani Wanaokuzunguka..... Watambue mchango WAKO si tu baada ya KIFO chako.....la hasha...... Hata wakati wa uhai WAKO....
MUHIMU...... Huwezi weka Alama katika ulimwengu..... Popote ulipo..... Usipojitambua..... Na kufahamu kwa nini uko hapo ulipo...... Na kutambua.....
Kuwa Kila kitu kina sababu.... HIVYO ZIPO SABABU ZA WEWE KUZALIWA..... Na kuwepo hapo..... Na zaidi upo hapo ulipo kwa kipindi flani tu...... Ndio uanuai wenyewe....
Umuhimu wa Mwalimu si tu umeonekana Leo.... HAPANA...... Ulionekana pia Hata wakati akiwa hai....... Akiwa kwenye madaraka...... Ndio maana..... Alipofariki wengi tuliwaza...... # Inawezekana maisha Bila Nyerere.....???

# NIRUDI KWENYE KIINI CHA MADA#

Hivi karibuni...... Tumesikia na kuona wagombea wakijinadi..... Kwa kueleza umma juu ya ilani zao na matamanio yao..... Wakipewa nafasi flani...... Ni dhahiri...... Yamesemwa mengi na kuzungumzwa mengi.....
Kikubwa kwangu ni...

a) Namna ambavyo wagombea wanatumia mawazo ya Mwalimu Nyerere katika kunadi sera zao.....

b) Wanavyotumia wasifu wa mwalimu Nyerere katika kujitengenezea mazingira ya kisiasa

c) Wanavyotumia nukuu za mwalimu Nyerere katika kufikia malengo kadhaa...... Nk....

YAPO mengi ya kusema hapo

UKICHUNGUZA WAGOMBEA WOTE..... Vyote wamavyohubiri...... Havichezi mbali na Maadui watatu wa Taifa hili...... Aliowataja Mwalimu Kuwa ni
#UJINGA
#UMASIKINI
#MARADHI .......

Muhimu ni Kuwa....... Mwalimu ni mtu muhimu sana katika historia ya nchi yetu na umma wa watanzania kwa ujumla ..... Mwalimu bado tunaishi nae wengi wetu..... Hivyo
Ni vizuri wakati tunatafakari miaka 16 ya KIFO cha Mwalimu.. Huku tukielekea kwenye Sanduku la kura October 25..... Tukafanya yafuatayo
..
1. Tukayaenzi mema aliyotenda Mwalimu.. kwa vitendo..
2. Tukahuisha Falsafa za Mwalimu katika maisha ya dhamana tulizopewa/tutakazopewa.
3. Tukaamini tunaweza Kuwa Kina Nyerere wa Leo... Na kesho...
Endapo..... Tutabeba mizigo ya dhamana tulizopewa / tutakazopewa kwa dhamira za dhati za mioyo yetu .....
Ndio ujumbe wangu kwako.....

MUNGU IBARIKI #TANZANIA....
MUNGU BARIKI #UCHAGUZI MKUU

( Ibrambeya@gmail.com )
 
Last edited by a moderator:
Wanabodi,

Leo tunaadhimisha miaka 16 tangu kifo cha Baba wa Taifa, Mwalimu, Julius Kambarage Nyerere, swali langu ni kama Mwalimu Nyerere angekuwa hai hadi leo, jee angeendelea kuwepo CCM?!.

Niliwahi kupandisha uzi humu, kuelezea kama Mwalimu Nyerere angekuwa hai hadi leo, angemuunga nani mkono, mode wakaufuta huo uzi, japo mimi kama mwana jf, siruhusiwi kuingilia mamlaka ya mode kuifunga thread yoyote, ila pia tufike mahali, mwanajf yoyote ambaye ni thread starter, awe na the right to information kuwa thread yako imefutwa na kuelezwa sababu za ni kwa nini imefutwa!.

Swali hili ni kufuatia hali halisi iliyopo CCM, kama watu kama Kingunge Ngombale Mwiru na Juma Mwapachu, wameamua kuachana na CCM, Jee Nyerere angebaki?!.

Pasco
Mtu kama wewe sikutegemea kama ungekuwa na mawazo haya, Nyerere angekuwepo nadhani hata huyo LOWASA wenu asingekuwa mwanasiasa maana aliwahikutamka ninamnukuu " ifike mahali mtu achague moja kufanya biashara au kufanya siasa na si vyote viwili" mwisho wa kunukuu. Hakuna hata mmoja aliyetoka ccm na kujiunga na CHADEMA kipindi hiki ambaye anaweza akajigamba yeye ni mzalendo na ana nia ya dhati kuwatumikia wananchi na taifa wote wapiga dili tu.
 
Back
Top Bottom