Yaan kama hakua na hela angekaa kwake, huna hela nguvu ya kualika mtu unaitoa wapi jaman yaan huwa nashangaa sana. Basi tungeenda hata kula ice cream anirudishe zangu kuliko kunipeleka sehem ya misosi na hela hana na hasemi.Abebe sasa alikuwa nayo....??? Angekuwa nayo si angekuja nayo ya kutoshaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Sema kama ndo maeneo ndizi kuku eldu 5 alizingua...
I bet utakuwa umebalikuwa sana,Hahahaha I went out for dinner with a guy.
Tukaagiza vinywaji pale fresh tukisubiria chakula sasa.
Mimi nikaagiza makange ya samaki yeye akaagiza kuku.
Movie inaanza kwanza kwenye kiti kakaa hatulii, mara ajinyooshe , mara ajikunye, mara anyooshe miguu hadi inafika kwangu ananikanyaga anasema aah sorry bhana.
Mimi namuuliza tu "kila kitu kipo sawa"? Anasema ndio. Mara kila saa anauliza mambo mengine vipi lakini? Mara nimefurahi umekubali kutoka na mimi. Anarudia rudia kila dakika. Basi mimi nishakwazika ila najikaza tu.
Chakula si kikaja? Anakula kama ndama? Yaani ile tafuna khaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kama ng'ombe yaani yaani ni "kata kata kata nyam nyam nyamnm" halafu hiyo kuku anainyofoa vyofoa kama ana mapengo.
Halafu hatulii, mara akapiga glass na kiwiko cha mkono pombe ikamwagikia[emoji1787][emoji1787]. Nikasema hii kali.
Nilivyotoka hapo, nikamblock.
Huenda aliwauliza nyie watu wa jikoni hiyo nyama mnachoma kwa mshumaa [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sipati picha chumvi ingezid kidogo kwenye chakula ungehamia jikoni kabisa kupoteza mda[emoji23][emoji23]
Kumbe na wewe umeona eh...huyu hannah atakuwa mzuri kinomaaI bet utakuwa umebalikuwa sana,
Ndo maana huyo bwege alikuwa hatulii yaani haamini Kama ndo yeye yuko na mtoto mzuri.
🤣🤣🤣Huenda aliwauliza nyie watu wa jikoni hiyo nyama mnachoma kwa mshumaa [emoji23][emoji23]
Ah jamani atakuwa alivutiwa sana na uzuri wako akajilipuaYaan kama hakua na hela angekaa kwake, huna hela nguvu ya kualika mtu unaitoa wapi jaman yaan huwa nashangaa sana. Basi tungeenda hata kula ice cream anirudishe zangu kuliko kunipeleka sehem ya misosi na hela hana na hasemi.
😂😂 Imebidi tu nichekeAh jamani atakuwa alivutiwa sana na uzuri wako akajilipua
Umenikumbusha episode moja ya friends. joey kaenda date na mwanamke, kila mtu kaoda chakula chake sasa wakati wanakula yule demu akataka kuonja chakula cha joey, sii jamaa akamind. Ila huyu wako took it to the extremeSidhani kama umenielewa. Hivi kwa mfano kama ni wewe umeamua kumtoa mtu out kwa nini usibebe pesa ya kutosha? Kama ni suala la hela kuniambia mapema aliona shida gan ? Nilichoboreka alisema kashiba hakuagiza chakula chake ila akaja kula cha kwangu yaan maana yake ni nini ata ungekuwa wewe ungefurahia?
Unadhambi wewe🤣🤣🤣Hahahaha I went out for dinner with a guy.
Tukaagiza vinywaji pale fresh tukisubiria chakula sasa.
Mimi nikaagiza makange ya samaki yeye akaagiza kuku.
Movie inaanza kwanza kwenye kiti kakaa hatulii, mara ajinyooshe , mara ajikunye, mara anyooshe miguu hadi inafika kwangu ananikanyaga anasema aah sorry bhana.
Mimi namuuliza tu "kila kitu kipo sawa"? Anasema ndio. Mara kila saa anauliza mambo mengine vipi lakini? Mara nimefurahi umekubali kutoka na mimi. Anarudia rudia kila dakika. Basi mimi nishakwazika ila najikaza tu.
Chakula si kikaja? Anakula kama ndama? Yaani ile tafuna khaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kama ng'ombe yaani yaani ni "kata kata kata nyam nyam nyamnm" halafu hiyo kuku anainyofoa vyofoa kama ana mapengo.
Halafu hatulii, mara akapiga glass na kiwiko cha mkono pombe ikamwagikia[emoji1787][emoji1787]. Nikasema hii kali.
Nilivyotoka hapo, nikamblock.
Kila mtu anataka date pisi kali shida ndalama jamani🤣🤣🤣🤣😂😂 Imebidi tu nicheke
Ulipatikana🤣🤣🤣Nikiwa 1St yr Chuo, kuna siku nilikua na appointment na mtu fulan, daaah tulipokutan kumbe kaja na rafiki zake, afu m1 wapo n mtu wa mtaan kwetu na pia n classmates wangu wa primary,
Nlijisikia vibayaaa sanaaa, sikuwa huru japo nilijikaza kukaa tyuuh palee, baada ya kuagana na kuondoka, nkamuambia kila mtu ashike 40 zake, na tufanye km hatujawahi kujuana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Cha ajabu sasa classmates ndo akaanza kunisumbua na yeye, pia nikamfungia kioo,, sitaki mazoea ya kupitiliza, uwiiiiiiih
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Ila jamani hiyo heading wahariri walivyoifanya nimecheka sana. Sijui robot ndio lina edit[emoji1787]Kumbe na wewe umeona eh...huyu hannah atakuwa mzuri kinomaa
😃😃😃Kila mtu anataka date pisi kali shida ndalama jamani🤣🤣🤣🤣
Wanaume wakati mwingine wanapitia magumu sana.Sidhani kama umenielewa. Hivi kwa mfano kama ni wewe umeamua kumtoa mtu out kwa nini usibebe pesa ya kutosha? Kama ni suala la hela kuniambia mapema aliona shida gan ? Nilichoboreka alisema kashiba hakuagiza chakula chake ila akaja kula cha kwangu yaan maana yake ni nini ata ungekuwa wewe ungefurahia?
Kumbe kelsea anapenda kuku choma na ndizi...wacha nijipange.Wanaume wakati mwingine wanapitia magumu sana.
Hapo labda kwa hela aliyokuwa nayo alitegemea ungeagiza kiepe yai na mishikaki miwili. Na yeye angeagiza kavu na mishikaki miwili. Ulivyoagiza kuku akijichek mfukoni ikabidi aseme ameshiba.
Sema huyo kazingua, wenzake wanasemaga wameshiba na wanakaza hadi mwisho hawali. Wakitoka hapo wanaenda moja kwa moja kwa mama wa mihogo na uji[emoji1787][emoji1787]. Sasa huyo kasema kashiba halafu anakula?
Angeniambia tungetoa hela kwa pamoja tununue chakula cha kututosha wala haikua na shida. Sasa yeye kanipa uhuru wa kuagiza chochote anadai kashiba hapa ndio alipokosea. Kwanza alikuja na gari kaliii eeh kumbe hela ya msosi hakuna alooo 😂😂😂Wanaume wakati mwingine wanapitia magumu sana.
Hapo labda kwa hela aliyokuwa nayo alitegemea ungeagiza kiepe yai na mishikaki miwili. Na yeye angeagiza kavu na mishikaki miwili. Ulivyoagiza kuku akijichek mfukoni ikabidi aseme ameshiba.
Sema huyo kazingua, wenzake wanasemaga wameshiba na wanakaza hadi mwisho hawali. Wakitoka hapo wanaenda moja kwa moja kwa mama wa mihogo na uji[emoji1787][emoji1787]. Sasa huyo kasema kashiba halafu anakula?
Sijawahi kudate kazi mbovu🤣🤣🤣
Inawezekana kazi ilikuwa vyedi sana ila ikapiga matukio mabovu 🤣🤣Sijawahi kudate kazi mbovu🤣🤣🤣