Kumbukumbu ya moja ya tarehe mbaya kutokea (Worse Date Ever)

Kibabe sana
 
😅😅😅😅
 
Uzi pendwa kama hizi huwa zinatembea sana kuliko zile za kupinga tozo.

Nawasubiri wazee wa kutunga stori za uongo na kweli waje wavamie huu Uzi. Wanatunga sasa hivi.
@mpwayunguvillage Njoo huku
🤣🤣🤣🤣🤣
 
😅😅😅😅
 
Nilipeleka date wale wanaojiita mamodo wa insta, alikuwa akipiga picha mwanzo mpaka mwisho huku akifanya editing, akanigeuza mpiga picha wake, nafikiri nilichukua zaidi ya picha mia na niliulizwa ipi nzuri kwa kila picha iliyochukuliwa siku ile, mtaalam ilibidi nicheke tuu maana hata hasira ilikuwa useless nikaishia kupiga scotch zisizo na idadi
 
Watu wa hivi ni kuwa nao makini ukilala anaweza piga picha na wewe akairusha insta au fb. 🤣
 
[emoji1][emoji1][emoji1] nimecheka apo kwenye kwenzi[emoji706]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…