Kumcheka mtu mwenye medali ya CAF wewe hata huna ya mapinduzi ni kisokorokwinyo

Usijali mtani hongera sana kwa kuchukua medali.
 
Kwa hiyo ile medali ya Feisal ndiyo kweli mkaamua mumpe Zahor Matelephone au ndiyo mnayoenda kumpa mama mdogo?
 
Mnaandika sanaaa....ninyi sio washindi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kombe ni mojaaa
Mmeshinda afu hamna furaha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mda wote wanaamzisha nyuzii za kujipa ahueniiii, woiiiiiih
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mda wote wanaamzisha nyuzii za kujipa ahueniiii, woiiiiiih
Wafa maji hawa yaani nawaonea huruma wanavojitetea
Ila ACHA wajitetee Yanga imeanzisha mwaka 1935 Kwa mara ya kwanza wanafika final ACHA washangilie kwetu for almost 88 years hawajawahi kufanikiwa hata robo ya kombe lolote la kimataifa
Waache TU wajipe moyo
 
Kwa kweliiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…