Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Kingai anaenda kuisha pamoja na genge lakeKingai wa kumtisha Lissu amuulize Salum Hamdun huyu wa TAKUKURU alivyopelekezshwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kingai anaenda kuisha pamoja na genge lakeKingai wa kumtisha Lissu amuulize Salum Hamdun huyu wa TAKUKURU alivyopelekezshwa.
Hata kama Rais anakosea aendelee kuheshimiwa tu.Mzazi wako ni mchawi kila mwaka anakuulia watoto uendelee kumheshimu tu kisa mzazi,inaingia akilini kweli.Lissu ni kichaa anayevaa suti, tai na miwani. Ni kichaa mwenye kuheshimiwa, huwa unamtambua mpaka akianza kufungua mdomo.
Heshima aliyopewa na Mheshimiwa Rais ni hali ya juu sana, kwa mtu mwenye chembechembe za ubinadamu alitakiwa akiheshimu kiti cha urais hata kama anaona SSH hana hadhi ya kuheshimiwa.
Samia amekuwa mzazi mwema sana kwa Lissu, alimtembelea hospitalini Kenya.Hata kama Rais anakosea aendelee kuheshimiwa tu.Mzazi wako ni mchawi kila mwaka anakuulia watoto uendelee kumheshimu tu kisa mzazi,inaingia akilini kweli.
Pamoja na wema wote huo ulioutaja lakini Mama Samiah anatuingiza katika utumwa wa wazi na matokeo yake utayaona siku za mbeleni.Sudani ni nchi iliyoendelea kuliko Tanzania lakini migogoro haiishi,Nigeria ni nchi iliyoendelea kuliko Tanzania lakini migogoro haiishi,Ethiopia,Eritrea,Somalia mambo hayaeleweki.Kumbuka tamaa zilimponza fisi.Samia amekuwa mzazi mwema sana kwa Lissu, alimtembelea hospitalini Kenya.
Akakutana nae Brussels Ubelgiji na akahakikisha analipwa pesa zote alizoidai serikali.
Amekuwa Mama mwema sana kwa CDM mpaka akashiriki mkutano wao mkuu, kitu ambacho hakuna rais aliyemtangulia aliyeweza kuthubutu kukifanya.
Lissu yote haya hayaoni, huyu ni kichaa anayevaa suti na tai na kukaa viti vya mbele kwenye ghafla mbalimbali. Huwezi kumtambua kwa kumuona tu ni mpaka afungue kinywa chake ndio utamjua vizuri kwamba kichwani pameharibiwa na zile risasi za Dodoma.
Migogoro ya majirani ni vita ya kiuchumi. tatizo sio Samia ni utekelezaji wa masharti ya wafadhili kwamba ni lazima waone demokrasia yetu ikikua.Pamoja na wema wote huo ulioutaja lakini Mama Samiah anatuingiza katika utumwa wa wazi na matokeo yake utayaona siku za mbeleni.Sudani ni nchi iliyoendelea kuliko Tanzania lakini migogoro haiishi,Nigeria ni nchi iliyoendelea kuliko Tanzania lakini migogoro haiishi,Ethiopia,Eritrea,Somalia mambo hayaeleweki.Kumbuka tamaa zilimponza fisi.
Je huu mkataba unahusu Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?Migogoro ya majirani ni vita ya kiuchumi. tatizo sio Samia ni utekelezaji wa masharti ya wafadhili kwamba ni lazima waone demokrasia yetu ikikua.
JPM aliwawekea kiburi na wakatukatia misaada. Lakini kuwavimbia huwa hakuna mwendelezo wowote wa kudumu, Samia amekubaliana na masharti na uwekezaji unaendelea kukua.
Hawa kina Lissu wanadhibitiwa vizuri tu, mfumo upo kazini usione ukimya huu wa Tanzania ukadhani unakuja bure bure tu.
Sio mkataba wa kwanza kuhusu JMT, ni mingi na inasainiwa mara nyingi.Je huu mkataba unahusu Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?
Rejea swali langu la msingi,Je huu Mkataba unahusu Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?Sio mkataba wa kwanza kuhusu JMT, ni mingi na inasainiwa mara nyingi.
Ndio maana Isidingo the need inarudishwa kubadiri upepo wa bandari...Binafsi nimemiss kumuona Lissu mahakamani akijitetea
Unahusu bandari iliyo ndani ya JMT hivyo unaihusu pia Jamhuri.Rejea swali langu la msingi,Je huu Mkataba unahusu Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?
Lisu ni nguchiro haogopi harudi nyuma kamnyama nguchiro ni hatarisana ndiyo maana kwenye mjadala wa kumuondoa Twiga kwenye nembo ilipendekezwa awekwe nguchiroMimi CCM kindakindaki lisu namuogopa,,kajamaa hakaogopi,,
Atarudi Ubelgiji nyie endeleeni na ujinga wenu.Kama lipo jambo la hatari ambalo wenye Mamlaka wanataka kulifanya, basi ni kuanza kumfuatilia Tundu, huku mkimwandikia barua za miito ya mashtaka.
Jamani, Lisu hana cha kupoteza hapa Duniani. Tundu, ni mfanya siasa aliyepitia kiwango cha juu na cha mwisho kwa mwana siasa wa upinzani kuteswa! Namaanisha, kupigwa mabomu ya machozi, kuzuiliwa mahabusu na hata kupigwa risasi, Lisu ameshayapitia yote hayo. Na hata kupigwa ngwala, Lisu alishapigwa za kutosha!
Shime, wenye Mamlaka, mpuuzeni Tundu endapo mnataka kutawala kwa amani.
Mwisho, kutaka ligi na Lisu ni sawa na kuwasha moto nyikani. Na kama lipo jambo Mnyaturu yule hupenda, basi, ni ligi ya kisiasa yenye michezo ya kisheria ndaniye. Kwa tunaomfahamu Mnyampaa yule, katulia na acheni kumchokoza kwa barua za miito. Vinginevyo, atawaumbua tu.