Afisa Tabibu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 511
- 848
Lissu anapenda ligi na anaenjoy sana hizi ligi. Ni bora CCM wakafocus kweny mambo mengine huyo Lissu wangeachana naye tu. Lissu huwa anafanya vituko makusudi ili serikali imshtaki na huko mahakaman ndo mahali anapopapenda na mara zote panampa umaarufu wa kisiasa mbele ya hao mawakili wa Serikali.
Ushauri wangu kwa CCM ni kuachana na Lissu, wampuuze tu otherwise atatengeneza headlines na hawana kitu cha kumfanya.
Ushauri wangu kwa CCM ni kuachana na Lissu, wampuuze tu otherwise atatengeneza headlines na hawana kitu cha kumfanya.