Kumchokoza Tundu Lissu ni sawa na kuwasha moto nyikani

Hata kama Rais anakosea aendelee kuheshimiwa tu.Mzazi wako ni mchawi kila mwaka anakuulia watoto uendelee kumheshimu tu kisa mzazi,inaingia akilini kweli.
 
Hata kama Rais anakosea aendelee kuheshimiwa tu.Mzazi wako ni mchawi kila mwaka anakuulia watoto uendelee kumheshimu tu kisa mzazi,inaingia akilini kweli.
Samia amekuwa mzazi mwema sana kwa Lissu, alimtembelea hospitalini Kenya.

Akakutana nae Brussels Ubelgiji na akahakikisha analipwa pesa zote alizoidai serikali.

Amekuwa Mama mwema sana kwa CDM mpaka akashiriki mkutano wao mkuu, kitu ambacho hakuna rais aliyemtangulia aliyeweza kuthubutu kukifanya.

Lissu yote haya hayaoni, huyu ni kichaa anayevaa suti na tai na kukaa viti vya mbele kwenye ghafla mbalimbali. Huwezi kumtambua kwa kumuona tu ni mpaka afungue kinywa chake ndio utamjua vizuri kwamba kichwani pameharibiwa na zile risasi za Dodoma.
 
Pamoja na wema wote huo ulioutaja lakini Mama Samiah anatuingiza katika utumwa wa wazi na matokeo yake utayaona siku za mbeleni.Sudani ni nchi iliyoendelea kuliko Tanzania lakini migogoro haiishi,Nigeria ni nchi iliyoendelea kuliko Tanzania lakini migogoro haiishi,Ethiopia,Eritrea,Somalia mambo hayaeleweki.Kumbuka tamaa zilimponza fisi.
 
Migogoro ya majirani ni vita ya kiuchumi. tatizo sio Samia ni utekelezaji wa masharti ya wafadhili kwamba ni lazima waone demokrasia yetu ikikua.

JPM aliwawekea kiburi na wakatukatia misaada. Lakini kuwavimbia huwa hakuna mwendelezo wowote wa kudumu, Samia amekubaliana na masharti na uwekezaji unaendelea kukua.

Hawa kina Lissu wanadhibitiwa vizuri tu, mfumo upo kazini usione ukimya huu wa Tanzania ukadhani unakuja bure bure tu.
 
Je huu mkataba unahusu Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?
 
Uzuri back up yake Kwa sasa iko juu nikiwemo Mimi kwani awamu ya tano sikuwa nam back up ila Kwa sasa anao wengi so CCM wamekosa intelligensia kwa sasa
 
Mimi CCM kindakindaki lisu namuogopa,,kajamaa hakaogopi,,
Lisu ni nguchiro haogopi harudi nyuma kamnyama nguchiro ni hatarisana ndiyo maana kwenye mjadala wa kumuondoa Twiga kwenye nembo ilipendekezwa awekwe nguchiro
 
Atarudi Ubelgiji nyie endeleeni na ujinga wenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…