Kumchokoza Tundu Lissu ni sawa na kuwasha moto nyikani

Lissu anapenda ligi na anaenjoy sana hizi ligi. Ni bora CCM wakafocus kweny mambo mengine huyo Lissu wangeachana naye tu. Lissu huwa anafanya vituko makusudi ili serikali imshtaki na huko mahakaman ndo mahali anapopapenda na mara zote panampa umaarufu wa kisiasa mbele ya hao mawakili wa Serikali.

Ushauri wangu kwa CCM ni kuachana na Lissu, wampuuze tu otherwise atatengeneza headlines na hawana kitu cha kumfanya.
 
Lissu sasa hivi anaungwa mkono na zaidi ya 75% ya Watanganyika walioko CCM, wasio na chama na Upinzani.

Kumtishia ni kumpaisha aungwe mkono zaidi.
 
Wana kulitafuta wanakilipata,kulingana na misemo ya wazaramo wa msangangongane na Maneromango😂😂😂
 
Eti mfumo takataka kabisa
 
Ndo ukweli hawawezi mfanya kitu
 
Aliemdanganya kingai kumuita huyo jamaa amtakii mema, sipati picha jinsi lisu alivyofurahia huo wito, baada ya kingai kumhoji lisu ni yeye ndie ataojiwa mpaka akose majibu na atajuta kumuita, labda wampige risasi zingine.
 
Watavuna wanachopanda
 
Acha ujinga
 
Kwani yeye mungu. Hana lolote.
 
Jamani, Lissu hana cha kupoteza hapa Duniani. Tundu, ni mfanya siasa aliyepitia kiwango cha juu na cha mwisho kwa mwana siasa wa upinzani kuteswa! Namaanisha, kupigwa mabomu ya machozi, kuzuiliwa mahabusu na hata kupigwa risasi, Lissu ameshayapitia yote hayo. Na hata kupigwa ngwala, Lissu alishapigwa za kutosha![emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku moja wengi wataning'iniza vichwa vyao kwa aibu watakapogundua uovu walioutetea na mashujaa waliowakejeli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…