ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Lissu haogopi tena shabaMtu kawajibu kua akirudi anaenda kuwakabili waliomwandikia wito hadi hapo hamjiulizi tu Lissu hana cha kupoteza kwenye siasa za nchi hii kwa aliyoyapitia, utamfanyia tena nini ili kumtisha?
Ukiteswa sana kama LISSU mwisho inakuwa sugu, mvua ya risasi kama unaua nyati halafu utishwe Tena.Lissu ni kichaa anayevaa suti, tai na miwani. Ni kichaa mwenye kuheshimiwa, huwa unamtambua mpaka akianza kufungua mdomo.
Heshima aliyopewa na Mheshimiwa Rais ni hali ya juu sana, kwa mtu mwenye chembechembe za ubinadamu alitakiwa akiheshimu kiti cha urais hata kama anaona SSH hana hadhi ya kuheshimiwa.
Yaani utoe shukrani kwa waliokumiminia mvua ya risasi?Samia amekuwa mzazi mwema sana kwa Lissu, alimtembelea hospitalini Kenya.
Akakutana nae Brussels Ubelgiji na akahakikisha analipwa pesa zote alizoidai serikali.
Amekuwa Mama mwema sana kwa CDM mpaka akashiriki mkutano wao mkuu, kitu ambacho hakuna rais aliyemtangulia aliyeweza kuthubutu kukifanya.
Lissu yote haya hayaoni, huyu ni kichaa anayevaa suti na tai na kukaa viti vya mbele kwenye ghafla mbalimbali. Huwezi kumtambua kwa kumuona tu ni mpaka afungue kinywa chake ndio utamjua vizuri kwamba kichwani pameharibiwa na zile risasi za Dodoma.