Pigo za kizamani kweli anagawa kwa Wanaume wengine unaendelea kufumania ili ulipwe chochote et Mke ni mali! Subiri uletewe magonjwa ya zinaa yanayotibika na yasiyotibika.nyie watoto wa afmbili ni vigumu sana kuelewa haya mambo, mke ni mali kama mali zingine unazozijua wewe so ukikamatwa nae jua wewe ni mwizi na unastaili adhabu nzuri kabisa ambayo itakutia adabu either katika maisha yako yote au ahera.
yani wanawake wote hao huwaoni mpaka uanze kunyemelea wake za watu? come on
siku ukijichanganya ndio utajua ujui