Kumdhuru mtu (kumuua, kumpiga nk) kwa sababu anashiriki ngono na mkeo hali ya kuwa mkeo ameridhia ni matumizi mabaya ya akili

Kumdhuru mtu (kumuua, kumpiga nk) kwa sababu anashiriki ngono na mkeo hali ya kuwa mkeo ameridhia ni matumizi mabaya ya akili

nyie watoto wa afmbili ni vigumu sana kuelewa haya mambo, mke ni mali kama mali zingine unazozijua wewe so ukikamatwa nae jua wewe ni mwizi na unastaili adhabu nzuri kabisa ambayo itakutia adabu either katika maisha yako yote au ahera.
yani wanawake wote hao huwaoni mpaka uanze kunyemelea wake za watu? come on

siku ukijichanganya ndio utajua ujui
Pigo za kizamani kweli anagawa kwa Wanaume wengine unaendelea kufumania ili ulipwe chochote et Mke ni mali! Subiri uletewe magonjwa ya zinaa yanayotibika na yasiyotibika.
 
Mwanamke akishagawa nje ujue hiyo ni silent message kwamba humtoshi na keshakuona kiazi cha kuchoma, why ukapigane na mtu aliyeambiwa na mkeo yupo single? Kwani k yake ina label hadi mtu baki ajue jikeo limeolewa? Kalagabaho, toa marinda ukaozee jela then mwenzio aendelee kukamua!
Mkuu, Dunia imechafuka mno, watu wana roho mbaya za kikatili, watu wanapanga na wake zao fumanizi, wewe na ideology zako za huyu mwanamke haridhishwi unajaa kwenye mfumo ya mipango ya watu. Achana na hizo ideology za kutokuridhishana. Kwani wewe ndo mashine za kutuliza nyege za wake za watu? Ohoo.. Hahaha.
 
Ujue kutofautisha mke na mpenzi, huyo ni sawa na umemkamata mwizi tena bora ya mwizi
So nani hapo hana k? Nani ni halali kugawa? Acha utoto, mke ndio kitu gani? Yani karatasi mlilosign kwa imani za kizungu ndio inakua special? Mwanamke akisaliti kwa mwanaume mwingine haijalishi hali gani anakwenda anapopeleka mboga period! Sijakaririshwa kiongozi

By the way nina mke na nimeishi naye miaka 18 na akitombwa leo nikagundua ni kwamba anafutiliwa mbali, period!
 
kila mtu analinda chake , mtu aliyeoa mke ni mali yake ...Mambo ya kushare ibaki kweny usafiri wa umma tu basi.
 
Sina muda wa kuandika sana hapo. Niko bize naandika simulizi yangu ya My family.

Cha kuzingatia hapo ni kuwa mkeo hajabakwa yaani anashiriki ngono kwa mapenzi yake.
Umezinduka usingizini hata kabla hujasafisha meno na kusukutua kinywani mwako kwa maji safi na salama tayari umeshapata wazo la kuandika mada inahusiana na ngono.
 
Mkuu, Dunia imechafuka mno, watu wana roho mbaya za kikatili, watu wanapanga na wake zao fumanizi, wewe na ideology zako za huyu mwanamke haridhishwi unajaa kwenye mfumo ya mipango ya watu. Achana na hizo ideology za kutokuridhishana. Kwani wewe ndo mashine za kutuliza nyege za wake za watu? Ohoo.. Hahaha.
Totally out of context, anyway ahsante kwa mchango wako though
 
Sina muda wa kuandika sana hapo. Niko bize naandika simulizi yangu ya My family.

Cha kuzingatia hapo ni kuwa mkeo hajabakwa yaani anashiriki ngono kwa mapenzi yake.
Tatizo ni serikali pumbavu ya sisiemu...nchi ina sheria za kianithi hii ndiyo hizo ambazo kina Pascal Mayalla wamezisomea na kuja hapa kujisifia sheria za kianithi kuwa wao ni wasomi kumbe wame hitimu uanithi wa sisiemu...Sheria inamtia hatiani mwanaume kutembea na mke wa mtu na kumwona yule mwanamke kana kwamba ni kichaa asiye na hatia ...ukitumia akili kutembea na mke wa mtu kwa hiali yake siyo kosa la mwanaume hata kidogo ...maana huo mkataba wa ndoa ni baina ya mke na mume wake walio oana wao ndiyo wanatakiwa kulinda makubaliano yao...ndiyo maana hata Yesu wa biblia alikataa kesi za kipumbavu za upande mmoja
 
Polis ipi hiyo inaua aliyefumaniwa?! Ukioa Mwanamke Malaya asiyejiheshim au kuheshim ndoa yake sijui utapambana na Wanaume wenzio kwenye fumanizi mara ngapi!
WEWE JIFARIJI HUMU, UTAKAPOKUTANA NA HUKUMU YA WANANCHI WENYE HASIRA KALI, HAYA UNAYOONGEA HAYATAKUWA NA MAANA WAKATI HUO UMEHARIKIWA AU UMEFARIKI KWA AIBU.

MSHAHARA WA DHAMBI NI MAUTI.

MKE WA MTU NI SUMU HAIJALISHI NI MALAYA AU NI BIKRA, WEWE CHA KUOGOPA NI HIYO SUMU
 
Sina muda wa kuandika sana hapo. Niko bize naandika simulizi yangu ya My family.

Cha kuzingatia hapo ni kuwa mkeo hajabakwa yaani anashiriki ngono kwa mapenzi yake.
Kweli kabisa.
Nina binamu yangu wa kiume alimchalanga kijana wa watu kisa kasikia anatembea na mke wake, nusu aue.

Ikaja kujulikana mkewe alishawishika na kitimoto anayouza kijana.
Hivyo alimwambia kijana wewe uwe unanipa kitimoto mimi kwangu utakuwa unajitwangia utakavyo.
Na huo ukawa mkataba wao. Kijana alikuwa anajigeuzia mama wa watu atakavyo.
 
Back
Top Bottom