Kumdhuru mtu (kumuua, kumpiga nk) kwa sababu anashiriki ngono na mkeo hali ya kuwa mkeo ameridhia ni matumizi mabaya ya akili

Huu uzi utumike kama sensa ya walio kwenye ndoa na wale kataa ndoa.

Ni simple tu, Wanaotokwa na mapovu wapo kwenye ndoa ✅.
Wanaokubaliana na mada ni team kataa ndoa.

Anyway, mimi ni padre wakuu, ningechangia chochote
😆😆😆Wewe tunakupa kazi ya kukusanya takwimu bwana padre.
 
Halafu unaweza kupigana na mtu mmoja kumbe kuna jemba kadha zinahongwa mkeo zinakuchora tuu.

Au unaweza kuua kisa fumaniz then unapigwa jera, unaacha watu wana jipimia utelezi uliokuwa unapigania.
 
huku kwetu kuna watu walimlawiti dogo kisa wamemfumania na mke wa mtu, wakasahau huku sio pwani,...mabroo wa dogo kusikia, hawkuuriza mara mbili, walinoa mapanga, wakafyeka familia ya mume, aliepona hana mkono,.......kama kuna kiumbe wa kukufanya uwaze mara mbili kabla ya kutenda, basi ni BINADAMU...
 
Wanapinga tu ila kama unatumia akili zako vizuri huwezi kufanya huo ujinga.
 
Kuna stori ya Mjeda mmoja alioa nurse. aaaka Sasa kumbe yule nurse analiwa na mfanyakaz mwenzake,tena rafiki wa huyo mjeda.
Mjeda akazinyaka, siku moja akawalia timing, akajifanya amesafiri kumbe kachii lodge flann siku kadhaa.

Mke wake na akaitana na mchepuko wake mpaka home kwa mjeda,wakatinga room. Mjeda naye akarud home akakaa sebulen akatulia tuli.
Bhanawe ile wamemaliza kulana watoke sebulen wakamkuta mjeda yuko bize kuchek runinga.
Akawasalimia akawaambia poleni na kazi au kama niwapishe muendelee.
Wala hakujishughulisha nao.

Mke wake alijipeleka mwenyewee kwao, jamaa likamfuata likamwambia mimi some sijakufukuza njoo tuishi wote na siwez kukupa taraka.
 
huku kwetu kuna watu walimlawiti dogo kisa wamemfumania na mke wa mtu, wakasahau huku sio pwani,...mabroo wa dogo kusikia, hawkuuriza mara mbili, walinoa mapanga, wakafyeka familia ya mume, aliepona hana mkono,.......kama kuna kiumbe wa kukufanya uwaze mara mbili kabla ya kutenda, basi ni BINADAMU...
Hahaha
 
Hao ma broo waliofanya hivyo hawakufungwa!
 
Kuna stori ya Mjeda mmoja alioa nurse. aaaka Sasa kumbe yule nurse analiwa na mfanyakaz mwenzake,tena rafiki wa huyo mjeda.
Mjeda akazinyaka, siku moja akawalia timing, akajifanya amesafiri kumbe kachii lodge flann siku kadhaa.

Mke wake na akaitana na mchepuko wake mpaka home kwa mjeda,wakatinga room. Mjeda naye akarud home akakaa sebulen akatulia tuli.
Bhanawe ile wamemaliza kulana watoke sebulen wakamkuta mjeda yuko bize kuchek runinga.
Akawasalimia akawaambia poleni na kazi au kama niwapishe muendelee.
Wala hakujishughulisha nao.

Mke wake alijipeleka mwenyewee kwao, jamaa likamfuata likamwambia mimi some sijakufukuza njoo tuishi wote na siwez kukupa taraka.
Hahaha alimtesa kisaikolojia aseeee
 
Sina muda wa kuandika sana hapo. Niko bize naandika simulizi yangu ya My family.

Cha kuzingatia hapo ni kuwa mkeo hajabakwa yaani anashiriki ngono kwa mapenzi yake.
ni ujinga kumwua mtu ambaye hajabaka, wake wengi hutoka nje kama sisi wanaume tunavyotoka, na inakuwa ni consensual affair
 
😆😆😆Wewe tunakupa kazi ya kukusanya takwimu bwana
Mimi ni nani hata nikatae wakati wajumbe mmeniamini.

Kufikia saa moja jioni nitafunga uzi kwa muda ili nitangaze matokeo ya vita yenu (HT), halafu nitawaacha muendelee kuzichapa

Anyway, niwaibie siri tu waliopo kwenye ndoa ni wachache ila ndo wanaongoza kwa idadi ya comments, yaan ni walewale ila wanajibu kila comment inayokuja mbele yao
 
Mke wa mtu kumkubalia mwanaume mwingine ni kosa kubwa, mwanamke ndie mwenye makosa. Ina maana hatoshelezwi na bwana wake. Kuna siku atamuondoa huyo bwana ili awe huru zaidi.
Mwanaume kumshawishi mke wa mtu kwa lengo la kushiriki nae tendo la ngono ni kosa kubwa sana na inaweza kupelekea ww mwanaume ukatiwa UBOOVU kwenye Malinda yako.
 
Back
Top Bottom