PAGAN
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 12,181
- 20,148
Jipe Moyo ukikutwa utasema haya wakati domo limevimba
Fanya mazoezi ya karate mkuu usije kung'olewa meno wakati nyapu ya mtu mwingine. Yaani unataka kuanzisha ngumi kwani umetombwa wewe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jipe Moyo ukikutwa utasema haya wakati domo limevimba
Na principle ni ile ile, hapana kususa mbususu
Wewe pia unawatongoza?Wanaume wengi hutongozwa na wake za watu....yaan kwa asilimia kubwa wanaume hushawishiwa
BOra uwakumbushe....karidhia mwenyewe, hasira za nini? Msaliti huyooSina muda wa kuandika sana hapo. Niko bize naandika simulizi yangu ya My family.
Cha kuzingatia hapo ni kuwa mkeo hajabakwa yaani anashiriki ngono kwa mapenzi yake.
😆😆😆Wewe tunakupa kazi ya kukusanya takwimu bwana padre.Huu uzi utumike kama sensa ya walio kwenye ndoa na wale kataa ndoa.
Ni simple tu, Wanaotokwa na mapovu wapo kwenye ndoa ✅.
Wanaokubaliana na mada ni team kataa ndoa.
Anyway, mimi ni padre wakuu, ningechangia chochote
Wanapinga tu ila kama unatumia akili zako vizuri huwezi kufanya huo ujinga.Halafu unaweza kupigana na mtu mmoja kumbe kuna jemba kadha zinahongwa mkeo zinakuchora tuu.
Au unaweza kuua kisa fumaniz then unapigwa jera, unaacha watu wana jipimia utelezi uliokuwa unapigania.
HahahaSina muda wa kuandika sana hapo. Niko bize naandika simulizi yangu ya My family.
Cha kuzingatia hapo ni kuwa mkeo hajabakwa yaani anashiriki ngono kwa mapenzi yake.
Hahahahuku kwetu kuna watu walimlawiti dogo kisa wamemfumania na mke wa mtu, wakasahau huku sio pwani,...mabroo wa dogo kusikia, hawkuuriza mara mbili, walinoa mapanga, wakafyeka familia ya mume, aliepona hana mkono,.......kama kuna kiumbe wa kukufanya uwaze mara mbili kabla ya kutenda, basi ni BINADAMU...
Kweli kabsaaWanapinga tu ila kama unatumia akili zako vizuri huwezi kufanya huo ujinga.
Hao ma broo waliofanya hivyo hawakufungwa!huku kwetu kuna watu walimlawiti dogo kisa wamemfumania na mke wa mtu, wakasahau huku sio pwani,...mabroo wa dogo kusikia, hawkuuriza mara mbili, walinoa mapanga, wakafyeka familia ya mume, aliepona hana mkono,.......kama kuna kiumbe wa kukufanya uwaze mara mbili kabla ya kutenda, basi ni BINADAMU...
Hahaha alimtesa kisaikolojia aseeeeKuna stori ya Mjeda mmoja alioa nurse. aaaka Sasa kumbe yule nurse analiwa na mfanyakaz mwenzake,tena rafiki wa huyo mjeda.
Mjeda akazinyaka, siku moja akawalia timing, akajifanya amesafiri kumbe kachii lodge flann siku kadhaa.
Mke wake na akaitana na mchepuko wake mpaka home kwa mjeda,wakatinga room. Mjeda naye akarud home akakaa sebulen akatulia tuli.
Bhanawe ile wamemaliza kulana watoke sebulen wakamkuta mjeda yuko bize kuchek runinga.
Akawasalimia akawaambia poleni na kazi au kama niwapishe muendelee.
Wala hakujishughulisha nao.
Mke wake alijipeleka mwenyewee kwao, jamaa likamfuata likamwambia mimi some sijakufukuza njoo tuishi wote na siwez kukupa taraka.
ni ujinga kumwua mtu ambaye hajabaka, wake wengi hutoka nje kama sisi wanaume tunavyotoka, na inakuwa ni consensual affairSina muda wa kuandika sana hapo. Niko bize naandika simulizi yangu ya My family.
Cha kuzingatia hapo ni kuwa mkeo hajabakwa yaani anashiriki ngono kwa mapenzi yake.
Hiyo style nimeipenda bure. Ngoja nianze kujipitisha hapo karibu na kwako.Ndiyo mkuu,Tena mie sijipitishi...nawachana live..
"Oya,nipe hicho kidude bas🤒
Mimi ni nani hata nikatae wakati wajumbe mmeniamini.😆😆😆Wewe tunakupa kazi ya kukusanya takwimu bwana
Mwanaume kumshawishi mke wa mtu kwa lengo la kushiriki nae tendo la ngono ni kosa kubwa sana na inaweza kupelekea ww mwanaume ukatiwa UBOOVU kwenye Malinda yako.Mke wa mtu kumkubalia mwanaume mwingine ni kosa kubwa, mwanamke ndie mwenye makosa. Ina maana hatoshelezwi na bwana wake. Kuna siku atamuondoa huyo bwana ili awe huru zaidi.