Kumekua na ongezeko kubwa la Wanawake wenye msongo wa mawazo

Nimeyasoma maelezo yako yote hatua kwa hatua lakini nimegundua kwamba wewe ndio mwenye msongo wa mawazo tena inaonekana umeachwa na mwanamke ambaye ulimpenda sana aseeee pole sana mkuu ndio maisha ya Dunia yalivyo vumilia utapata mwingine.
Mkuu mimi sijaachwa na wala sina kawaida ya kuachwa, next time uliza kwanza usidandie maelezo kwa mbele ila asante kwa kuchangia mada
 
Naona kuna watu wanapita km wanaaga maiti huku wanaulaani huu uzi kwa huyu mleta mada alikua anawaza nini wakati anaandika huu uzi?
 
Mkuu mimi sijaachwa na wala sina kawaida ya kuachwa, next time uliza kwanza usidandie maelezo kwa mbele ila asante kwa kuchangia mada
Pole sana bila shaka unapitia changamoto kubwa ioa usijali yatapita
 
Hebu jaribu kuvaa viatu vyao, una watoto wawili halafu huna kazi ya kueleweka. Ila wanawake nao bana, unaruhusu vipi watoto wawili na hujaolewa?
Sometimes maamuzi yao huwa yanashangaza sana. Unaona kabisa life linamchapa ila anajifariji kua yeye ni fighter na hapo ataongeza hata toto la 3 na kutwa kucha yupo kwa Mwamposa.
Wapo wale ni wapambanaji kweli, hawana hata muda wa kufake ili fulani anione hivi ila hawa wa social media kila siku status za kujibinua na meme hamna kazi.

Na sio wanawake tu, wapo pia wanaume wenye kariba za namna hiyo.
 
Ukishakuwa na high expectations lazima ukutane na disappointments tu hakuna namna.

Utakuta mwanamke anataka kuolewa na mwanaume ambaye tayari amejipata, alafu yeye mwenyewe baado kabisa dalili za kujipata na bado anaamini kabisa huyo mwanaume atakuwa single.

Mwanamke akishafika 28+ mtu wa uhakika ambaye anaweza angalau wakawa na mahusiano ya uelekeo wa ndoa ni yule anayekutana naye kwenye mzunguko wake wa maisha ya kila siku.

Nafasi ni ndogo sana kwa mwanamke mwenye miaka 28+ kuolewa na mwanaume mgeni kabisa kwenye maisha yake
 
Wamekusikia ila wamekusonya kishenzi
 
Study ilifanyika wapi?,kuthibitisha unayoyasema?
 
🤣🤣🤣 Mnatusingizia jamani bodaboda sie hatutumii mkongo ni nguzu zetu wenyewe ndio zina shenyenta mbususu za single maza
Siku nikimkuta bodaboda mazingira ya nyumbani kwangu amezagaa zagaa tu ,haeleweki basi nitamfunua ubongo,nimshen. Ama vyote kwa pamoja,
Bodaboda mna tabia mbaya mnoo na chafu ,nimeona mengi sana ya bodaboda,
 
Sawa sie tuna gegeda mbususu za wake zenu hao wake zenu ndio wana tabia mbaya kwa nini wanagawa utamu hovyo hovyo.
Bro hawa wanawake wetu sote wee tuwagegede tuu muhimu mkeo anakupa mbususu basi wacha pia awa bless maboda nao waenjoy
 
Hii inshu ya 50/50 sio sawa ila kutokana na uchumi na frusa ndogo nchini vijana wengi wana stress ndo maana ukiangalia wanao bet utasikitika
Hakuna cha uchumi kaka,mwanamke akae nyumbani azae na kulea familia,wafanye majukumu yao kama kina mama
Wote watulie majumbani kama hujapewa kazi na ofis zaidi ya nne na nyingine ukakataa,
wanawake wanataka kishindana na wanaume kwakua na wao wamekua watafutaji
 
Sawa sie tuna gegeda mbususu za wake zenu hao wake zenu ndio wana tabia mbaya kwa nini wanagawa utamu hovyo hovyo.
Bro hawa wanawake wetu sote wee tuwagegede tuu muhimu mkeo anakupa mbususu basi wacha pia awa bless maboda nao waenjoy
Sawa we gegeda,ila pelekaneni huko maporini ama majumba ya wageni ,sasa unapewa na mke wa mtu unamtafunia kwake, na wewe ukipakiwa mkongo si sawa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…