joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Wanawake walio jiingiza kwenye kutafuta hela hawa lazima wawe na stress sababu wanawaface walemwengu kila siku ili wapate hela,humo kuna vichaa,wahuni,wastarabu, watoto mjini nk.So stress hazikwepeki, sometimes wanachezea matusi ili wale.
Kuna single mother ambayo siku hizi namba yao inakua kwa kasi,hasa wale walio zaa na mabad boys/playboys kwani hawa wanajua kuzalisha na kuacha kutunza sio kivile na dada zangu wengi wao wanawapenda huwaambii kitu.Hapo lazima mwanamke afunge mkanda kuanzia kula yake,kulala kwake na mtoto wake.
Halafu kuna wale mafeminist walio changanyana usomi, hawa nilikuwa na tizama podcast moja YouTube (US), mmoja wa member alisema kuna tafiti ilifanyika ilionekana wengi wao ni wapweke na watumiaji sana wa vilevi sababu ya stress na stress zenyewe ni za kukosa mwenza na familia na mara nyingi wanakuwaga above thirty.(Sijajua mafeminist wa kwetu bongo).
Halafu kuna stress nyingine wanazitakaga wenyewe sometimes huuza mpaka miili yao direct au indirectly, stress kama za michezo miwili majina matatu matatu kila mmoja,mikopo ambayo hela yake hawajui wataifanyia nini, kushindana na trend za mjini mara atake simu kila tolea jipya,kiatu na nguo za brand kubwa,akae nyumba kali, awe na ndinga kali. Hapo mara nyingi huwavizia waume za watu ili wawawezeshe kiuchumi na kama kawaida wakizalishwa wanaachwa then jamaa anarudi kwa mkewe yy anabaki na zigo la stress kwani zile luxury hatozipata.