Kumekua na ongezeko kubwa la Wanawake wenye msongo wa mawazo

Wanawake walio jiingiza kwenye kutafuta hela hawa lazima wawe na stress sababu wanawaface walemwengu kila siku ili wapate hela,humo kuna vichaa,wahuni,wastarabu, watoto mjini nk.So stress hazikwepeki, sometimes wanachezea matusi ili wale.

Kuna single mother ambayo siku hizi namba yao inakua kwa kasi,hasa wale walio zaa na mabad boys/playboys kwani hawa wanajua kuzalisha na kuacha kutunza sio kivile na dada zangu wengi wao wanawapenda huwaambii kitu.Hapo lazima mwanamke afunge mkanda kuanzia kula yake,kulala kwake na mtoto wake.

Halafu kuna wale mafeminist walio changanyana usomi, hawa nilikuwa na tizama podcast moja YouTube (US), mmoja wa member alisema kuna tafiti ilifanyika ilionekana wengi wao ni wapweke na watumiaji sana wa vilevi sababu ya stress na stress zenyewe ni za kukosa mwenza na familia na mara nyingi wanakuwaga above thirty.(Sijajua mafeminist wa kwetu bongo).

Halafu kuna stress nyingine wanazitakaga wenyewe sometimes huuza mpaka miili yao direct au indirectly, stress kama za michezo miwili majina matatu matatu kila mmoja,mikopo ambayo hela yake hawajui wataifanyia nini, kushindana na trend za mjini mara atake simu kila tolea jipya,kiatu na nguo za brand kubwa,akae nyumba kali, awe na ndinga kali. Hapo mara nyingi huwavizia waume za watu ili wawawezeshe kiuchumi na kama kawaida wakizalishwa wanaachwa then jamaa anarudi kwa mkewe yy anabaki na zigo la stress kwani zile luxury hatozipata.
 
Sawa we gegeda,ila pelekaneni huko maporini ama majumba ya wageni ,sasa unapewa na mke wa mtu unamtafunia kwake, na wewe ukipakiwa mkongo si sawa tu
Sasa nikimpeleka lodge inaharibu hesabu ya bosi, wacha tuu tugegedane kwenye kitanda cha mme wake.
Kama akinila malinda anile tuu lakini na mie mke wake nilishamkula
 
Wanawake walio jiingiza kwenye kutafuta hela hawa lazima wawe na stress sababu wanawaface walemwengu kila siku ili wapate hela,humo kuna vichaa,wahuni,wastarabu, watoto mjini nk.So stress hazikwepeki, sometimes wanachezea matusi ili wale.

Kuna single mother ambayo siku hizi namba yao inakua kwa kasi,hasa wale walio zaa na mabad boys/playboys kwani hawa wanajua kuzalisha na kuacha kutunza sio kivile na dada zangu wengi wao wanawapenda huwaambii kitu.Hapo lazima mwanamke afunge mkanda kuanzia kula yake,kulala kwake na mtoto wake.

Halafu kuna wale mafeminist walio changanyana usomi, hawa nilikuwa na tizama podcast moja YouTube (US), mmoja wa member alisema kuna tafiti ilifanyika ilionekana wengi wao ni wapweke na watumiaji sana wa vilevi sababu ya stress na stress zenyewe ni za kukosa mwenza na familia na mara nyingi wanakuwaga above thirty.(Sijajua mafeminist wa kwetu bongo).

Halafu kuna stress nyingine wanazitakaga wenyewe sometimes huuza mpaka miili yao direct au indirectly, stress kama za michezo miwili majina matatu matatu kila mmoja,mikopo ambayo hela yake hawajui wataifanyia nini, kushindana na trend za mjini mara atake simu kila tolea jipya,kiatu na nguo za brand kubwa,akae nyumba kali, awe na ndinga kali. Hapo mara nyingi huwavizia waume za watu ili wawawezeshe kiuchumi na kama kawaida wakizalishwa wanaachwa then jamaa anarudi kwa mkewe yy anabaki na zigo la stress kwani zile luxury hatozipata.
Mkuu umeongezea nyama za kutoka huo ni ukweli uliowazi kabisa na wenyewe wanaujua tena hapo kwenye kujiunga na michezo mingi na kuweka majina mengi ndio umewapasulia mule mule mtu anacheza michezo 10 kila mchezo kaweka majina 5 sasa ndugu yangu hio hela unaitoa wapi? Msongo mkali wa mawazo unaanzia hapo kutaka maisha ya juu kwa njia ya shortcuts ndio kunaanzia hapo na balaa lake ni majuto kabisa, ukirudi kwenye feminist ndio kabisa hao msongo wa mawazo kwao ni mkali sana pia maana wanaishi kinyume na matakwa ya mama ulimwengu
 
Tunaita Sadaka
Ndio mkuu ila kwa maana nyingine ni malipo ya kuhudhuria ibada maana yake ni hio, ni km unapopanda usafiri wa umma labda tuseme unatoka Mbezi mpaka Ubungo basi kuna mchango utapita 700 700 kila mmoja ila yote hio ni malipo ya kusafirishwa kutoka sehemu moja kwenda nyingine na siku hizi kwenye hii mikutano hakuna ibada ya bure ndugu yangu lazima uchangie, sasa unakuta mwanamke msongo umempiga vibaya anaenda huko napo anaongezewa msongo mwingine hauoni hapo kwamba msongo wake wa mawazo utakua mkali sana?

Cha kuwashauri msongo ukiwakamata wasikimbilie huko maana huko pia hakuna ibada ya bure lazima ulipie ili upate huduma sio hiari ni lazima
 
Study ilifanyika wapi?,kuthibitisha unayoyasema?
Mkuu hii ni study imefanyika kwa muda mrefu lakini pia kuna evidence mbalimbali zinaweza kuthibitisha hilo na nimezielezea kwa uchache angalau katika kuleta uelewa
 
Ongezea ongezea nyama mkuu
Mkuu kitu Cha kwanza ambacho kinawavuruga wanawake kwasasa ni vikoba, michezo, na mikopo. Ukienda kwa hawa watu ambao wanakopesha hela watakuambia asilimia kubwa ya wateja wao ni wanawake. Nenda mtaan zile siku za marejesho utaona akina mama namna wanavyohangaika. Akipata hiyo hela ya rejesho bado wana michezo ya kila siku ambayo wanacheza.
Sasa hivi unaweza kuona wanawake wengi wanajishughulisha na biashara ndogo ndogo ukiwafuatilia wengi wanatafuta hela za marejesho na michezo.
 
Tuwafanyie hisani wanawake, oa zaidi ya mwanamke mmoja. Wanawake kubalini kuolewa hata mke wa pili au wa tatu cha msingi wekeni mikakati namna ya kuishi na ujiheshimu.
 
Mkuu kitu Cha kwanza ambacho kinawavuruga wanawake kwasasa ni vikoba, michezo, na mikopo. Ukienda kwa hawa watu ambao wanakopesha hela watakuambia asilimia kubwa ya wateja wao ni wanawake. Nenda mtaan zile siku za marejesho utaona akina mama namna wanavyohangaika. Akipata hiyo hela ya rejesho bado wana michezo ya kila siku ambayo wanacheza.
Sasa hivi unaweza kuona wanawake wengi wanajishughulisha na biashara ndogo ndogo ukiwafuatilia wengi wanatafuta hela za marejesho na michezo.
Kweli mkuu umesema yote ila nao tukisema tuwape nafasi ya kuwasikiliza kila mmoja ataongea la kwake kiufupi wanapitia msongo wa mawazo kwa sababu tofauti tofauti ila hilo la kutaka maisha ya juu kwa njia za shortcuts hilo ndilo linawaumiza zaidi, anakaa chini na wenziwe wanampa ushauri fanya hivi na vile unamuona fulani amefanya ametoboa bila kufanya utafiti wa kina kujua fulani amefanya ametumia mbinu gani na yeye anaingia humo humo michezo 10 kila mchezo niwekeeni majina matano kila jina 20,000 kwa siku inabidi alaze 100,000 kila mchezo na michezo 10 jumla 100,000 zidisha na 10 unapata 1,000,000, hio million kila siku anaitoa wapi km hajaanza kupasuka kichwa nini?
 
Mkuu kitu Cha kwanza ambacho kinawavuruga wanawake kwasasa ni vikoba, michezo, na mikopo. Ukienda kwa hawa watu ambao wanakopesha hela watakuambia asilimia kubwa ya wateja wao ni wanawake. Nenda mtaan zile siku za marejesho utaona akina mama namna wanavyohangaika. Akipata hiyo hela ya rejesho bado wana michezo ya kila siku ambayo wanacheza.
Sasa hivi unaweza kuona wanawake wengi wanajishughulisha na biashara ndogo ndogo ukiwafuatilia wengi wanatafuta hela za marejesho na michezo.
Wanawake wengi wametelekezewa familia na wengine wanaishi na waume walevi, wahuni wasiojali hata watoto wao. Wamama inabidi waanze kuhangaika ili watoto waende shule na wapate mahitaji. Hapo utawakuta kwenye vikoba na biashara ndogo ndogo. So, msiwasimange sana mkadhani wanapenda madeni.
 
Kwa hio unakubariana na mimi kwamba kuna ongezeko kubwa la wanawake wanaoishi na msongo wa mawazo
 
Back
Top Bottom