Kumekua na ongezeko kubwa la Wanawake wenye msongo wa mawazo

KUDOS
 
Mada nyingi za humu ni za kujifariji
 
L
Kwenye kumtafuta kwao Mungu wanapata neema ya kuzishinda hizo stress.
Maandiko yanasema,
Njooni kwangu nyote mnaosumbumka na kulemewa na mizigo nami nitawapumzisha.( Yesu anaweza kuwapa pumziko)
 
L
Kwenye kumtafuta kwao Mungu wanapata neema ya kuzishinda hizo stress.
Maandiko yanasema,
Njooni kwangu nyote mnaosumbumka na kulemewa na mizigo nami nitawapumzisha.( Yesu anaweza kuwapa pumziko)
Mkuu nimesema huko wanaenda na msongo wa mawazo mkuu usiniquote vibaya wakiwa hawana msongo wa mawazo huwakuti wakienda huko hata kidogo
 
Na hadi wafe wanakuwa wamepitia episode za kuongea kwa kufoka peke yao njiani na kubeba gazette la zamani mpaka linakuwa la njano, misongo ipo kila jinsia.
Mkuu punguza msongo huo umeandika kwa ukali sana mkuu
 
Njia moja wapo kubwa ya kupunguza msongo wao wa mawazo ni kuwagegeda vzuri
Mtoa mada hajui kwamba team kataa ndoa na yeye akiwemo ndo chanzo cha shida hiyo kwa kina dada.

Waoe na wawape hela...
We mpe hela tu. Akiendelea na msongo huyo ana yake mengine.
 
Huo ndo uhalisia
Wanawake hupenda sana artifical life, wanavyokuwa wabichi then baadae reality hits, ndo wanakumbuka when their value is long gone.
 
Umeandika mambo ya msingi sana yawahusuyo hawa ndugu zetu wa upande wa pili. Sema tu ndiyo hivyo. Hawabadiliki wakishaukumbatia huo msongo wao wa mawazo. Na mateso yote yatokanayo na athari za huo msongo wa mawazo, hubebeshwa watoto na waume zao.
 
Wana msongo kama wale dada zako wanaokaa kwenye vile vyumba pale Temeke hosptali sudani.
 
Analysis nzuri na imetulia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…