Kumekua na ongezeko kubwa la Wanawake wenye msongo wa mawazo

Kumekua na ongezeko kubwa la Wanawake wenye msongo wa mawazo

Wanawake wengi huwa wanapenda kuolewa wakiwa wamechoka kabisa ule uzuri umekwisha kabisa kipindi Cha usichana huwa hawapendi kudate na wanaume wenye malengo ni jambo la kawaida Binti kumkataa singo boy na kuzaa na mme wa mtu
Tolea ufafanuzi kidogo hapa naona kuna kitu hujaeleza vizuri inakuaje mpaka inakua hivyo?
 
Back
Top Bottom