Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kubenea na Komu wamo barazani?View attachment 1407132
Katiba baraza jipya lililotangazwa na Kiongozi wa kambi rasmi bungeni , Wabunge wote wa Cuf pamoja na Mbunge wa NCCR MAGEUZI ndugu Mbatia wametoswa .
Huu ujumbe ungemwambia jiwe mapema nazani lisu angekuwa bado yupo bungeni mpaka leo, Ben Saanane na akina Azory Gwanda na wengineo wangekuwa bado wanapumua hapa duniani.
Kutuma ujumbe ambayo hauna mazara kwa mtu kwamba unajua kinachoendelea si vibaya sana, maana unampa nafasi ya pili kujilekebisha kama anaeweza kufanya hivyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Safi sana Mwamba MBOWE.View attachment 1407132
Katiba baraza jipya lililotangazwa na Kiongozi wa kambi rasmi bungeni , Wabunge wote wa Cuf pamoja na Mbunge wa NCCR MAGEUZI ndugu Mbatia wametoswa .
Mkuu hivi hata kwa mtu mwenye akili kama za panzi anaweza kusema Mbowe na chadema kwa ujumla wanasimamia principle?Inabidi ujishangae mwenyewe kwa kutoona mantiki ya mabadiliko hayo.
Nadhani kwa aina fulani unataka uonekane kama kituko kwa kutoona maana ya mabadiliko yaliyofanywa.
Hata kama ni siku moja ingekuwa imebaki, kusimamia 'principle' ni mhimu kuliko kitu chochote maishani.
Watu wa aina yako msiokuwa na mnalosimamia ndio mnaowapa watawala kiburi.
Uko sahihi Mr. P. Ila ikumbukwe kuwa ukiona watoto wako wanataka kukuondoa wewe kwa mama yao, waingie wao, hapo huwezi kuendelea kuwabeba. Precedent zinagoma kabisa, tukianza na Mungu mwenyewe, hakumuacha Shetani aendelee kuwa mezani kwake wakati amealianzisha. Just as Magu was right to Membe, so it is Mbowe to Mbatia.Wewe ni baba, hao ni watoto wako, wakikuny.a mkono hauukati, unausafisha na kuendelea kumbeba mtoto, kama hawaja andaa unawaandalia na sio kuwatumbua.
P
Usipoteze muda wako kwa mtu huyu kuhusu kushambuliwa Lissu kwa maagizo kutoka juu , huyu ni miongoni mwa waliofurahishwa na shambulio lile , nyuzi zake za kushabikia zimejaa humu jf , yeye anaamini kwamba ataishi mileleWakati mwingine Mazingira na yana ashiria Na kuonesha kitu katika uhalisia wake, Na kisheria ushahidi wa kimazingira unaweza kumtia mtu hatiani na akahukumiwa hata kifo.
katika suala la T.A.L kuna vielelezo vingi vya mazingira ya kuwaficha hao wasiojulikana. kiasi ambacho Lamri zote zinaonesha hao watu ni washirika wa Team wafuga chatu.
Non alined movement.Mtu anayemwamini mbowe kuwa ni mpinzani wa kweli.Ni sawa na ayeiamini CCM kama imeleta maendeleo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh...!. Kama kuna binaadam anayeamini ataishi milele, then huyo sio binadamu ni mungu!. Na kama kuna binaadam yoyote anayeshabikia mabaya yakimkuta binadamu mwingine huyu naye sio binaadam, huyu ni shetani!. Kufurahia mateso yoyote ya binaadamu yoyote ni ushetani.Usipoteze muda wako kwa mtu huyu kuhusu kushambuliwa Lissu kwa maagizo kutoka juu , huyu ni miongoni mwa waliofurahishwa na shambulio lile , nyuzi zake za kushabikia zimejaa humu jf , yeye anaamini kwamba ataishi milele
Usipa Bado upo mjomba , ila sasa zimeongezeka na zingine zinaitwa Ngelwa
#MWAMBA TUVUSHESafi sana Mwamba MBOWE.
Endelea kumkumbatia shetani tuone mwisho wakoDuh...!. Kama kuna binaadam anayeamini ataishi milele, then huyo sio binadamu ni mungu!. Na kama kuna binaadam yoyote anayeshabikia mabaya yakimkuta binadamu mwingine huyu naye sio binaadam, huyu ni shetani!. Kufurahia mateso yoyote ya binaadamu yoyote ni ushetani.
Ila pia kumsingizia uongo binaadam mwingine kuwa nyuzi zake zinashabikia shambulio la Lissu, kama sii kweli zinashabikia, then huu pia ni ushetani!.
Tuna mashetani wengi miongoni mwetu kuliko tunavyojidhania!.
P.