Kumekucha: Baraza la Mawaziri kivuli - Mbatia out

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

So kwa akili yako yote unadhani JPM anaweza hangaika na Lissu. Azzory na Ben Saa nane sijui. Mambo huwa hayoko rahisi Hivi.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbowe ameshindwa kujenga umoja na mashirikiano bora kwa wapinzani nahata ndani ya chama chake... Kwanini anatumbua kiuchama badala ya kutizama utendaji wao huyu sio kiongozi wa upinzani bungeni ni kiongoz wa chadema bungeni.
 
Mkuu hivi hata kwa mtu mwenye akili kama za panzi anaweza kusema Mbowe na chadema kwa ujumla wanasimamia principle?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ni baba, hao ni watoto wako, wakikuny.a mkono hauukati, unausafisha na kuendelea kumbeba mtoto, kama hawaja andaa unawaandalia na sio kuwatumbua.
P
Uko sahihi Mr. P. Ila ikumbukwe kuwa ukiona watoto wako wanataka kukuondoa wewe kwa mama yao, waingie wao, hapo huwezi kuendelea kuwabeba. Precedent zinagoma kabisa, tukianza na Mungu mwenyewe, hakumuacha Shetani aendelee kuwa mezani kwake wakati amealianzisha. Just as Magu was right to Membe, so it is Mbowe to Mbatia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usipoteze muda wako kwa mtu huyu kuhusu kushambuliwa Lissu kwa maagizo kutoka juu , huyu ni miongoni mwa waliofurahishwa na shambulio lile , nyuzi zake za kushabikia zimejaa humu jf , yeye anaamini kwamba ataishi milele
 
Hilo ndio tatizo la wapinzani hawajui adui yao ni nani badala ya kulinganisha nguvu wanazigawa ili kumpa nguvu ccm halafu wanalalamika kuwa wanaibiwa na hii so Mara ya kwanza ilifanyika kipindi like cuf ilipoungana na ccm Zanzibar kuunda serikali ya pamoja chadema walijitenga na kuwaita ccmb
 
Ni wazi inaonyesha, Mbowe kafanya siasa za visasi na kukomoana. Kwa nyie upinzani ni vyama tofauti, mna siasa tofauti na mengi mengine, sasa Mbatia akifanya siasa zake kwa manufaa ya chama chake, kunawaumiza, mkiafanya yakwenu Chadema, mnawalazimisha wawaunge mkono, la sivyo mnawanunia.

Wanansiasa wenu ndio wanao amua kwenda kupangisha vyumba kwengine, hawaitwi bali shida zao ndio zinawapeleka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usipoteze muda wako kwa mtu huyu kuhusu kushambuliwa Lissu kwa maagizo kutoka juu , huyu ni miongoni mwa waliofurahishwa na shambulio lile , nyuzi zake za kushabikia zimejaa humu jf , yeye anaamini kwamba ataishi milele
Duh...!. Kama kuna binaadam anayeamini ataishi milele, then huyo sio binadamu ni mungu!. Na kama kuna binaadam yoyote anayeshabikia mabaya yakimkuta binadamu mwingine huyu naye sio binaadam, huyu ni shetani!. Kufurahia mateso yoyote ya binaadamu yoyote ni ushetani.
Ila pia kumsingizia uongo binaadam mwingine kuwa nyuzi zake zinashabikia shambulio la Lissu, kama sii kweli zinashabikia, then huu pia ni ushetani!.
Tuna mashetani wengi miongoni mwetu kuliko tunavyojidhania!.
P.
 
Endelea kumkumbatia shetani tuone mwisho wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…