Kumekucha: BAWACHA watinga Ubalozi wa Marekani kushinikiza Freeman Mbowe aachiwe huru

Be informed hayo magaidi unayosema kushirikiana na Mbowe jana DPP kayaachia hana ushahidi.
sasa waliobam
ki wale watatu ndiyo watakula msoto na mwenyekiti maana hao ndiyo ushahidi upo hao walioachiwa kweli hawana ushahidi lakini mbowe ushahidi umekamilika mkuuu
 
Nimekutukana tusi kubwa sn sema sijaliandika hapa
 
sasa waliobam
ki wale watatu ndiyo watakula msoto na mwenyekiti maana hao ndiyo ushahidi upo hao walioachiwa kweli hawana ushahidi lakini mbowe ushahidi umekamilika mkuuu
Mbowe sio mara ya kwanza kupewa kesi za kubumba kama hii, alipewa kesi ya madawa ya kulevya mkasema hivi hivi.
 
Wafanye hivi Kila siku...tuone Kama idadi itaongezeka au kupungua
 
Mbowe sio mara ya kwanza kupewa kesi za kubumba kama hii, alipewa kesi ya madawa ya kulevya mkasema hivi hivi.
Ni kweli halafu alipigwa pale Dodoma na kuteguka mguu
 
Ni kweli ni nchi huru, lakini inaitegemea Marekani kupitia usaid kupata condom. Hata chanjo iliozinduliwa leo ni msaada toka kwao.
 
Toka Chacha Wangwe afariki watu wenye akili na wanaotumia akili wameisha CHADEMA
 
"Gongeni mtafunguliwa". Safi sana BAWACHA. Zidisheni juhudi hadi mkombozi aachiwe huru. Katiba mpya ni LAZIMA. Upepo wa katiba mpya hauzuiliki. "It is a current social and political necessity in Tanzania".
Katiba mpya ni jambo jema, but jitahidini kuitafuta kwa njia nzuri, siyo kuwapandisha vichaa kwenye hayo majukwaa yenu na kuanza kutukana mamlaka. Akina Baregu na Safari siwaoni kwa sasa kwenye chama chenu
 
26 July 2021
Dar es Salaam, Tanzania
KELELE ZIMEFIKA BALOZI ZA JUMUIYA ZA KIMATAIFA, AKINA MAMA KUPAZA SAUTI JUU UVUNJIFU WA DEMOKRASIA
BAWACHA ni moto, ujumbe umefika ulimwenguni. Aluta Continua Continua mapambano yanaendelea toka 2015 mpaka 2025

N.B
Video Kutoka maktaba: ikionesha ukubwa na oganaizesheni mahiri ya BAWACHA katika siasa za Tanzania

Uzuri wa USA yuko kimaslahi, nyie mnaenda kupeleka umbea wenzenu wananunua chanjo, Symbioni inarudi kazini...hizo kelele zenu hawawezi kuzisikia..... hamuon Rwanda, Uganda na pale Saudia kwa MBS..
 
Uzuri wa USA yuko kimaslahi, nyie mnaenda kupeleka umbea wenzenu wananunua chanjo, Symbioni inarudi kazini...hizo kelele zenu hawawezi kuzisikia..... hamuon Rwanda, Uganda na pale Saudia kwa MBS..
cde huwa hawalijui hili.
 
Lissu kashasema hawataweka wakili, Lissu sijui ni lini ataacha kutoa kauli za kukurupuka. Naiona CDM imara chini ya Mwamba Abubakar kuliko CDM ya bwana Lissu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…