Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,016
- 6,759
Waitara huyo bwashee!Watazimaliza nyumba za Kimara sasa 😅😅😅 watawaua akina Mangi aisee!!!
Walipe fidia sasa sio kujivunjia kiboya tuMara nako hali ni hiyo hiyo nyumba zaidi ya 100 kubomolewa!
Heheheh walisema JPM katili kavunja nyumba zao! Sasa Mama anaupiga mwingi sana na atatuvusha😅Mama anaupiga mwingi kweri-kweri.
Usisahau Mkuu Mama nae ana Watu kama Mzee Mpili wa Yanga SC.Heheheh walisema JPM katili kavunja nyumba zao! Sasa Mama anaupiga mwingi sana na atatuvusha😅
Siyo kila Maamuzi tu ni ya Kuilaumu Serikali Mkuu. Na bahati nzuri wakati Wewe ukitaka 'Kuichongea' Serikali kwa Wakazi wa huko ila Wananchi wenyewe wanajua na walishajiandaa kwa hayo Maamuzi baada ya hata Wao wenyewe Kugundua kuwa Wamejenga Kiholela japo kuna ambao wamejenga Kihalali na hao ama Wameshalipwa au Watalipwa Fidia na Mamlaka ( Serikali ) husika.
Hahaaaaa yaan nikimwangalia SAMIA namuonea huruma tu maana hajui lolote maskini ye anajipigia tu misele hajui kuwa kuna wenzie wanamchonganisha na wanachi kwa makusudi kabisaWalipe fidia sasa sio kujivunjia kiboya tu
Wawarudishie kodi za Majengo walizokuwa wanawatoza.Kwani sheria inasemaje kuhusu kujenga kwenye hifadhi ya barabara? Siyo kila kitu kulalama tu, wabongo bana, hatunaga jema