Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Popoma leo hajanywa ‘double kick’ kama kawaida yakeHii id imekua HACKED au...😳😳😳😳
Mbona unaandika kwa staha sana, sio kawaida yako!😀😀😀😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Popoma leo hajanywa ‘double kick’ kama kawaida yakeHii id imekua HACKED au...😳😳😳😳
Mbona unaandika kwa staha sana, sio kawaida yako!😀😀😀😀
Yeah bi mkubwa ni kondoo ila amezungukwa na kundi la simba! Wabara wanawaza upigaji hawana ethics kazini wao wako ili kujijenga kimaisha by any means watajirike 😅😅😅Kwahiyo mkuu unamaanisha tumepigwa au!
Ila sema Magu alikuwa na Mapungufu yake lakini moto wake haukuwa wa kawaida..nakumbuka anamfokea Thonthony yule Mcanada wa Baric duh!
Mzee alikuwa naye anajua masuala mbalimbali ya kitaalam! Sasa Mama yeye kakalia mipasho na kuinua mabega, yaani kufikia 2025 aisee atakuwa yuko hoi wallah tena!
Na watu wa bara ni hatari, si washamgundua kuwa amekalia kutoa mikeka ya wateuliwa, wao wanamtia kwenye tanuli la moto wa mkaa wa mawe...yaani akija kugeuka atakutana na maskendo balaa..
Wazanzibar kama wao wana maadili vile ukiwaangalia kwa ndani, sasa watu wa bara hawana habari na mtu wao kupiga tu; shauri yake..
Magufuli asingeruhusu upuuzi wa aina hii, watu walikuwa wanaogopa kupeleka proposal za kipumbavu maana angezipiga chini tu😅!Huyu mama naona wajanja washa mu win tayal yaan wanamchonganisha na wananchi pole pole atakuja shituka Mambo yashaharibika ,hasa kwenye mafuta na miamala ya kifedha hapa mama apaangalie sana Tena kwa jicho la kinabii ,Kuna wahuni wameanza kuchanga karata zao kwa akili kubwa sana .
Leo hii mtaani wameanza kumkumbuka dikteta magufuri ,mama kuwa makini sana Tena sana washaur wako ndio wako mchezoni haswaa
Mama anaupiga mwingi Kwenye petroleum na mobile moneyHeheheh walisema JPM katili kavunja nyumba zao! Sasa Mama anaupiga mwingi sana na atatuvusha😅
Unaposema wanamfitinisha maana yake yeye hana akili au uelewa wa kuja nini baya na nini zuri?Hahaaaaa yaan nikimwangalia SAMIA namuonea huruma tu maana hajui lolote maskini ye anajipigia tu misele hajui kuwa kuna wenzie wanamchonganisha na wanachi kwa makusudi kabisa
walianza umeme, wamekuja mafuta, haya makato ya line za simu, bado hapo makato ya luku haya sasa bomoa bomoa karibu kila mkoa yeye yupo yupo tu haelewi lolote maskini mzanzibari wawatu, hazijui fitna za wabara huku yeye anaamini wapo pamoja wanaimba wimbo mmoja kumbe wenzie wana hama tune taratibu kwa ustadi mkubwa.
Yaan wananchi huku hawamwelewi kabisaa na wamesha anza kumchukia kwa sasa maana tangu ashike nchi vitu vya msingi tena vinavyo gusa wananch moja kwa moja vimeanza kupanda bei
Hehehe kule kwa mabrigedia 😂😂😂 wamejenga kistaarabu watakoumia ni wale wa mbele ya mmbuyuni mleWapanue na ya mwenge- bunju
Hiv huu ni ubomoaji wa awamu ya pili? mbona kuna ubomoajiulishafanyikaga kabla ya upanuzi uliokwisha fanywa tayariPamoja na kuwa Barabara ya Ubungo—Kimara (stop over) zimepigwa X jioni hii hadi usiku huu. Wananchi wamepewa siku 30 waondoke kupisha upanuzi wa barabara.
Pia kuanzia Kimara Bucha mpaka Kimara resort wamepewa Notisi ya kobomoa na kuvacate kwa walio ndani ya Mita 90 za hifadhi ya barabara kama barua inavyoonesha.
Hii yote ni kwa ajili ya kuendelezwa kwa barabara hiyo na wakala wa barabara TANROADS. Nakala ya notisi hiyo ni kama inavyoonekana hapo chini:
View attachment 1847872
Hapo uchonganishi upo wapi?Siyo kila Maamuzi tu ni ya Kuilaumu Serikali Mkuu. Na bahati nzuri wakati Wewe ukitaka 'Kuichongea' Serikali kwa Wakazi wa huko ila Wananchi wenyewe wanajua na walishajiandaa kwa hayo Maamuzi baada ya hata Wao wenyewe Kugundua kuwa Wamejenga Kiholela japo kuna ambao wamejenga Kihalali na hao ama Wameshalipwa au Watalipwa Fidia na Mamlaka ( Serikali ) husika.
Form inasema bucha mwisho resort ila kwa sifa watapiga hadi kimara mwisho.Pamoja na kuwa Barabara ya Ubungo—Kimara (stop over) zimepigwa X jioni hii hadi usiku huu. Wananchi wamepewa siku 30 waondoke kupisha upanuzi wa barabara.
Pia kuanzia Kimara Bucha mpaka Kimara resort wamepewa Notisi ya kobomoa na kuvacate kwa walio ndani ya Mita 90 za hifadhi ya barabara kama barua inavyoonesha.
Hii yote ni kwa ajili ya kuendelezwa kwa barabara hiyo na wakala wa barabara TANROADS. Nakala ya notisi hiyo ni kama inavyoonekana hapo chini:
View attachment 1847872
Kweli .Watazimaliza nyumba za Kimara sasa [emoji28][emoji28][emoji28] watawaua akina Mangi aisee!!!
Hakuna fidia hao waliojenga wameikuta barabaraba.Walipwe fidia sawa ila ukifanyika ule uhuni wa jiwe watu waingie barabarani
Na kuja jamaa ana mashine ya kuchana na kuranda mbao pale kimara mwaka jana kauziwa lile eneo 20 milioni kwa kudanganywa hawabomoi tenaDuuh na wamepewa notisi mara tatu, hiyo ni ya nne
Sheria haitambui uwezekano wa kumlipa mtu wa aina hiyo fidia.
Pole zao.
Wote ni Walewale CCM wote ROHO MOJAHeheheh walisema JPM katili kavunja nyumba zao! Sasa Mama anaupiga mwingi sana na atatuvusha[emoji28]
Hawapewi hata mia maana inasemekana huko nyuma walishapewa wengine wakajauzia hao waliopo sa hiviThis time i hope watafidiwa
Ingieni tuwanyoosheWalipwe fidia sawa ila ukifanyika ule uhuni wa jiwe watu waingie barabarani
Wanasiasa wanawadharau sana wananchi. Wsmeshawaona hata wafanyiwe nn kazi yao ni kulalamika tu bila kuchukua action yeyote. Baada ya muda watasahau na maisha yanaendelea.Walipwe fidia sawa ila ukifanyika ule uhuni wa jiwe watu waingie barabarani