polokwane
JF-Expert Member
- Dec 16, 2018
- 3,361
- 5,842
Ninacho shangaa wanadai kupeleka umeme vijijini yaan mawazo ya mwigulu anadhan watanzania bado wajinga miaka yote tunachangia REA sasa hiki walicho leta cha kazi ganiMagufuli asingeruhusu upuuzi wa aina hii, watu walikuwa wanaogopa kupeleka proposal za kipumbavu maana angezipiga chini tu😅!
Watamkumbuka sana tu maana sahizi wapigaji hawatakuwa wanawajibishwa zaidi ya kuandikishwa barua tu